Ndugai abanwa bungeni na kuahirisha bunge saa 5.30

...mabumba alihoji kama wabunge wamepitisha na marekebisho ya mnyika,wakasema ndioo! sasa sendeka anajuaje kuwa wabunge hawakukubali mawazo ya mnyika?wabunge walikubaliana na mabumba kuwa marekebisho yapite,alaf AG na sendeka wanadai mwenyekti kakosea!kakosea wapi?alisema bila kuuma maneno na wabunge wakaafiki,sasa inakuwaje m.kiti anatishwa ili afute hansard?kama wakina sendeka walitaka majibu waliyoyataka wao si ndo wangeleta maoni baada ya kusainiwa kuwa sheria kama walivofanya kwa muswada wa katiba am
 
Back
Top Bottom