Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,846
...jamaa yangu alianza kujenga kwenye kiwanja cha mkewe kwa makubaliano jengo litakuwa kwa faida ya watoto.
Siku ya siku, mke kacharuka 'hakutaka kusikia la muadhini wala mnadi sala!' kaamua kukiuza kiwanja!
Mume alipomuuliza vipi kuhusu jengo ambalo tayari walishapandisha kozi tosha za ukuta...mke akajibu
"kama unataka ondoa matofali yako!"
Haya mambo (ya mgawanyo wa mali) hata mkiyafanya kwa makubaliano ya faida ya watoto hapo baadae, pia yanategemeana na akili timamu za wazazi, la sivyo ni kujitafutia upungufu wa siku za kuishi hapa duniani.