nnunu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2011
- 654
- 230
Ahaa ahaa nyie mnanichekesha kweli nnunu unamsema mwenzako wewe je?
Hata mimi nafanya hivyo ninapojisikia kufanya hivyo,
manake vitu hivyo havitakiwi kulazimishwa bali kuhiari...lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa ahaa nyie mnanichekesha kweli nnunu unamsema mwenzako wewe je?
Na mvua hii lazima ujisikie tu lol!Hata mimi nafanya hivyo ninapojisikia kufanya hivyo,
manake vitu hivyo havitakiwi kulazimishwa bali kuhiari...lol
Na mvua hii lazima ujisikie tu lol![/QUO
kwa upande wangu HALI YA HEWA haihusiki kabisa na kujisikia kwangu.
Naomba usinihoji zaidi ksb nimeishiwa maelezo......lol.
manake unadadisi kama mtoto wa miaka 5...lol
Hata ungekuwa wazi vipi, kisheria wosia hautakiwi kuonekana kwa beneficiaries wote (sina hakika kama nimekosea ila kuna kitu kama hicho kwenye sheria), kwa hiyo haiwezekana mimi kumuonesha wosia. Ila contents zote nilishamwambia verbally.
Halafu mimi siwezi kuandika wosia wake...Yeye ndiye anayetakiwa kuandikia wosia unaohusu mali zake (ambazo ni 50% ya meli zetu za ndoa). Naongea naye sana kuhusu umuhimu wa kuandika wosia na siwezi kufanya zaidi ya hapo kwani nitaonekana kama nataka kujua contents zake!

Mie bado mdogo haya mambo ya kubwa siyajui ila naanza kujifunza sasa..............
DA,tena weeh ndo ungeandika kabisaa mirathi manake ukikata kamba tu watatoana roho kugombea:welcome: hicho kilemba chako!
Yaaani hii kitu ni muhimu sana halafu ukimkumbusha mtu anaona kama unataka afe hivi! kwa kweli ni muhimu sana watu wengi tunalisahau hili na kuishi maisha ya leoleo tunasahau kesho itakuwaje.
Sidhani kama kuna shida kuanisha mali zenu na kuweka makubaliano fulani kuhusu umuilki na hatima za hizi mali na ndio maana walio wengi hupenda kuweka majina ya watoto kwa umuliki wa mali ili kuondoa migongano na mitafaraku, kuacha kuzungumzia mali ni kuonyesha jinsi hgani hiyo familia isivyo na upendo wala uwazi na inathibitisha ubinafsi uliokithiri baina ya wana ndoa wenyewe
DC - Babu mbona haya mambo ya mali yanachosha sana!
Kha mie naona kama mna watoto bora tu mali yote ipelekwe huko ,maaana naona tunaumiza sana vichwa