Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,078
- 2,443
DC,
For the sake of continuity ya Familia pindi Baba anapotangulia mbele ya HAKI, ni vyema, wakati upo hai, kuendesha Familia kama mifumo ya computer - kule kuna kitu kinaitwa BCP = Business Continuity Plan - Maana yake ni kuwa, kama mfumo wa computer unaoutumia leo ukiharibika ghafla, basi ni lazima kuwe na uwepo wa mfumo mwingine (Backup) kwa ajili ya kuhakikisha shughuli zako zinaendelea kama kawaida...
Unapokuwa unamiliki Nyumba, hakikisha unamwezesha mwenzi kumiliki nyumba (hata kama ni vyumba viwili), unapomiliki shamba, hakikisha "My Wife" naye anamiliki ki-jishamba, e.t.c, e.t.c Na vyote vinavyomilikiwa na "My Wife" ni VYA KWAKE na siyo VYA KWENU.. In so doing, siku utakapotangulia mbele ya haki na Watoto uliozaa nje wakanyanyua vinywa vyao au ndugu zako, basi "My Wife" pamoja na watoto wa ndani ya ndoa watakuwa na "BCP"!
Vinginevyo, kama unaweza, kuwa mwaminifu na mbaya kwa extended family!