Ndoa ya Dr. Slaa na Josephine ni ruksa, hakuna pingamizi tena dhidi yao

Chadema bana kwa kuchagua mambo leo mahakama imetenda haki lakini linapokuja suala la Lema mahakama imetumwa na Ikulu...

Vipi kuhusu madai ya Rose Kamili, ya Dr Slaa kutelekeza familia yake.
Tafuta hati ya ndoa uisome na kuielewa vyema,ndoa zinazotambulika na serikali zipo za aina tatu yaani kimila, kiserikali na kidini.Je kati ya hizo tatu Dr Slaa alifunga ndoa ya aina gani?
 
Watu hapa mnashangilia sana....but hiki kitendo ni cha AIBU sana kwa huyo kiongozi wenu Slaa!!
Badala ya kufocus kutumikia umma, muda wote anautumia kuhangaikia migogoro yake na wake za watu. Tujiulize tu swali rahisi, kama ya kanisa yalimshinda, uongozi wa nchi atauweza? Kama mpaka leo familia zake mwenyewe(Kamili&Josephin) anashindwa kuzihandle, ataweza kutuahandle watanzania wote?

Muda gani aliohangaikia? au nyie ndo mnahangaika?
 
Mungu akuweke miaka mia mbili kwa kuweke hii kitu hadharani.

Nilijua kuwa kesi iko mahakamani ila sikujua kumbe talaka tayari.SSM mnasemaje? Halafu ikumbukwe kuwa Rose na Dr. Slaa walizaa na hata kama waliishi pamoja but walishaachana zaidi ya miaka miwili na kwa sheria za ndoa zote hata ile ya kimila hii si ndoa tena.!!

Cha msingi kama kuna mali walichuma pamoja labda ndizo wanaweza kugawana. Watoto ni wakubwa over 18 years kwa sheria za watoto si watoto hawa bali ni vijana. Cha msingi kama hawajamaliza kusoma, say wako Chuo ni obligation ya wazazi wote kuwatunza na kwa hakika Dr hawezi kuacha kutunza watoto wake.

Hivi kuna mtoto wake ameshakuja hapa au gazetini kulalamika kuwa baba yao hawatunzi? Kwa hakika hawa ni wakubwa hata mahakamani wanaweza kutoa ushahidi hivyo wapeleke mahakamani wakashuhudie.

Tumechoka na uchokonozi wa upande wa pili wa upinzani (SSS), kina Ritz na wengine mpo hapo? Sheria ni msumeno, siyo kila kitu unachodai ni lazima upate, viafuata taratibu na kanuni za sheria japo pia watendaji wasio waaminifu hupindisha kama ilivyo kuwa kwa kesi ya Mh. Lema Arusha.

Na kwa hakika bora hilio jimbo libaki open maana SSM mtaaibika mara ya pili na after 5 years ya adhabu Lema atarejea tena na atawaghalagaza.

Alamsiki!!!
 
Lllillillilililililililililililililililililililililililiilililililililil!
 
Huyo Mahimbo atapata wapi jiki kali ya kumsafisha hii aibu? Josephine kamtosa 'kabisa'. CCM wampe jiki, mwanaume anahitaji msaada. lol!
 
muwamba ngoma, ngozi huvutia kwake? Chadema tunapenda sana Dr. Slaa kiasi cha kusahau mapungufu yake kama binadamu mwingine. Kitendo cha kuzaa watoto wawili na kama kweli walikuwa wanakaa pamoja zaidi ya miezi 6 chini ya paa moja na majirani wa kuprove hilo wapo Rose anakuwa mke wa Dr. Slaa by default so she is a legal wife. Hatuingilii mahakama ni maoni tu

Labda nirejee kidogo mchango wangu hapo awali. Ukiliangalia kisiasa litakusumbua sana. Leave alone kuwa hata kulijadili kijamii ni kuingilia maswala ya watu ya ndani. Wako watu humu hawana ushabiki wa siasa lakini wanaona ukweli. nimesoma mchango wa Borntown hapo juu. anauliza: Mbona wakati wa kampeni Rose Kamili alikuwa anapanda jukwaani na Dr. Slaa, ikiwa Dr Slaa anamtambulisha Josephine kama Mchumba wake, na Rose Kamili alikuwa anashangilia tu ????. Leo kuna nini ? siku zote hizo hakujua kama yeye ni Legal wife? alijua mwisho wa uchumba ni nini ? Ukweli ni kwamba tunajaribu kutafuta njia ya kushuka au kupanda kisiasa kupitia hili la hawa wapendanao ! tena ukizingatia SI LA KWANZA na siyo geni kivile ! ebu tujaribu kufanya kautafiti kidogo tu kwenye mitaa yetu, tuone watu walioishi na mke au mume kwa siku kadhaa, wakazaa, wakatengana au wakaachana, wakaoa au kuolewa, you will get a lot of them and there are no such mapingamizi ! Oh kaoa mke wangu, oh kaoa mke mwingine ikiwa mimi ni mke halali wa ndoa, oh wakati hajaoa alitoka na mimi ! duh ! jamani, ebu tafuteni hoja za kisiasa tumwagike hapa na u-GT wetu ! haya mambo ya chumbani yantulia muda mwiiiiingi. Kwanza kuibiwa mke ni aibu ! ulikuwa wapi wewe mpaka ukwapuliwe mke ? uoni aibu kuwaeleza wanaume wenzio eti umeibiwa mke ? eti umeibiwa mume ? Mume/Mke amekuw mkoba ? Ah, ni maoni tu jamani, msichukie nyie mnaoibiwa wake zenu, eti !
 
ooh what a pair!


 

Attachments

  • SlaanaJosephine.jpg
    SlaanaJosephine.jpg
    29.4 KB · Views: 247
Huyo hapo kwenye red title yake stahiki ni kimada mstaafu.Hana hoja akitaka arudi tu huko magamba wanakomfadhili, kimada hana talaka.

kwa hiyo dr slaa sio mwaminifu katika ndoa zake,inawezekana kabisa hata huyu josephine mahimbo nae baadae akamkimbia pia km alivomtosa rose.
 
Tunangoja kutangazwa kwa ndoa ya JK na Rahma Kharooooos Kasiiiga huko tuendako. Heri Dk Slaa ameweka wazi kuliko wanaojaza vimada kila sehemu na kuwaficha kwa gharama ya umma. Viongozi wetu badilike tafadhali.
 
Ile ya kwiba mke wa mtu nayo hakuna pingamizi??????????

wengi tuna furaha lakini mahimbo ameumizwa sana na Dk. Slaa. mwibie mtu fedha lakini sio mke

Mahimbo ndio alianza kumtelekeza Josephine, tena anaishi na mwanamke mwingine na kuzaa naye. Josephine ameanza mahusiano na Dr. Slaa zaidi ya miaka miwili baada ya kutelekezwa. Mambo ya binafsi yanatafutiwa faida za kisiasa. Acha kutumiwa na watu kushabikia usiyoyajua.

kwa hiyo tunafurahia Rose kamili na watoto wake wawili kuteseka kwa sababu ya penzi la Josephine na Dk. Slaa?

muwamba ngoma, ngozi huvutia kwake? Chadema tunapenda sana Dr. Slaa kiasi cha kusahau mapungufu yake kama binadamu mwingine. Kitendo cha kuzaa watoto wawili na kama kweli walikuwa wanakaa pamoja zaidi ya miezi 6 chini ya paa moja na majirani wa kuprove hilo wapo Rose anakuwa mke wa Dr. Slaa by default so she is a legal wife. Hatuingilii mahakama ni maoni tu

Mambo ya kutengana mke na mume Dr. Slaa si wa kwanza. Watoto wenyewe sasa hivi ni vijana wakubwa zaidi ya miaka 18 na hawajalalamika kutelekezwa wala kukosa matunzo. Mama yao ni Mbunge naye akisema ameshindwa kutunza watoto atakuwa mwongo.

Lakini Dr. Slaa na Rose Kamili walikuwa tayari wana tofauti kubwa sana ambazo haziwawezeshi kuendelea kuishi pamoja. Kama ambavyo Nelson Mandela na Winnie walifikia hatua wakatengana kisha Mandela akamuoa Graca Machel, si kitu kipya kwa Dr. Slaa wala hakina sura mnayotaka kipate.
 
Kesi iliyopo mahakamani hivi sasa ni kati ya rose kamili slaa vs wilibrod slaa dr.hii hati ya josephine na mahimbo unaihusishaje hadi uweke hapa kama sio kutumika.
 
Chadema bana kwa kuchagua mambo leo mahakama imetenda haki lakini linapokuja suala la Lema mahakama imetumwa na Ikulu...

Vipi kuhusu madai ya Rose Kamili, ya Dr Slaa kutelekeza familia yake.
Kwa kuwa unapenda sana udaku mpigie simu Rose umuulize!
 
Kesi iliyopo mahakamani hivi sasa ni kati ya rose kamili slaa vs wilibrod slaa dr.hii hati ya josephine na mahimbo unaihusishaje hadi uweke hapa kama sio kutumika.

kesi ni ya matunzo ya watoto na si kupinga ndoa wengi wanajua kesi iliyopo mahakami ni kupinga ndoa na kuna tetesi zilizagaa kuwa mahimba naye anataka kwenye mahamani kupinga ndoa hivyo huo ni uthibitisho kuwa hakuna ndoa baina yao tangu april 2012. ndoa za kikristo zinapigwa makanisani siyo mahakamani imekula kwake rose kamili
 
Back
Top Bottom