Ndoa ya Dr. Slaa na Josephine ni ruksa, hakuna pingamizi tena dhidi yao

Hii habari siyo nzuri sana kwa zomba na team yake ila kama signature yangu inavyojipambanua hivyo ndivyo inatakiwa kuwa.
 
Chadema bana kwa kuchagua mambo leo mahakama imetenda haki lakini linapokuja suala la Lema mahakama imetumwa na Ikulu...

Vipi kuhusu madai ya Rose Kamili, ya Dr Slaa kutelekeza familia yake.

Huyo hapo kwenye red title yake stahiki ni kimada mstaafu.Hana hoja akitaka arudi tu huko magamba wanakomfadhili, kimada hana talaka.
 
fmpiganaji Hii inathibitisha kuwa ni ukweli kuwa siku zote alikuwa anaishi na mke wa mtu kwa uzinifu na kazaaa nae mtoto wa nje ya ndoa (haramu).

Kwi kwi kwi teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Watu hapa mnashangilia sana....but hiki kitendo ni cha AIBU sana kwa huyo kiongozi wenu Slaa!!
Badala ya kufocus kutumikia umma, muda wote anautumia kuhangaikia migogoro yake na wake za watu. Tujiulize tu swali rahisi, kama ya kanisa yalimshinda, uongozi wa nchi atauweza? Kama mpaka leo familia zake mwenyewe(Kamili&Josephin) anashindwa kuzihandle, ataweza kutuahandle watanzania wote?
 
japo sheria inawatambua mwanaume na mwanamke walioishi pamoja kwa muda fulani kama wanandoa pia.sasa sijajua kama nayo inahitaji formal divorce,hiyo ya Slaa na Rose Kamili

Sheria haiwatambui watu wanaoishi pamoja kama mume na mkw bali inawatambua kama ni mahawara mpaka pale kutakapokuwa na mgogoro ndio sheria huingia kuangalia haki ya kila mmoja baada ya kutengana ni nini
 
Bado hatujui hatma ya pingamizi lililowekwa na Rose!

Rose anashida hiyo. kazi yake ameishamaliza na kupata kitita cha nguvu kutaka ccmmakwepande. wajinga ndio waliwao. wewe jiandae kula tu ubwabwaaaaa!!!! wewe uliona wapi hapa duniani pingamizi la kijinga namna hiyo. yaaani ccm kuna mambo yani wewe ulitege....... pole imekula kwako
 
hawa jamaa hawachelewi kusema watu wasikusanyike kusheherekea kutokana na taarifa za kiintelijensia kwamba kutatokea fujo ukumbini...............
 
Chadema bana kwa kuchagua mambo leo mahakama imetenda haki lakini linapokuja suala la Lema mahakama imetumwa na Ikulu...

Vipi kuhusu madai ya Rose Kamili, ya Dr Slaa kutelekeza familia yake.

Ritz mambo mengine si saizi yako kabisa, uyaache yapite tu...hawa unao comments si size yako, acha wazee wenzao ndio wawaulize...
 
Chadema bana kwa kuchagua mambo leo mahakama imetenda haki lakini linapokuja suala la Lema mahakama imetumwa na Ikulu...

Vipi kuhusu madai ya Rose Kamili, ya Dr Slaa kutelekeza familia yake.
mashabiki wengi wa chademu wanasumbuliwa na bigotry na ugonjwa wa selective memory, ugonjwa huo wameiga kutoka kwa masahiba zao magamba. hawa watani wa jadi hawana la kuchekana, maana wote wana attributes zilezile.
 
kwa hiyo tunafurahia Rose kamili na watoto wake wawili kuteseka kwa sababu ya penzi la Josephine na Dk. Slaa?

kuteseka umekusema wewe , unakaa kwao kujionea? huyu mamanaye si mbunge ? pesa zote alafu unauliza mateso
 
wewe nawe, unaleta habari za mtu ambaye hata hasikiki tena baada ya kupata mihela yake. hapo wa kuweka pingamizi kisha weka sasa sijui unataka pingamizi gani kesi iko mahakamani, ivi kanisa litafunga ndoa na wakati kesi iko mahakamani? sijui unataka pingamizi gani tena, unless uniwekee talaka ambayo slaa alipewa na mwanamke aliyekuwa anaishi naye ambaye ameweka pingamizi mahakamani
 
Chadema bana kwa kuchagua mambo leo mahakama imetenda haki lakini linapokuja suala la Lema mahakama imetumwa na Ikulu...

Vipi kuhusu madai ya Rose Kamili, ya Dr Slaa kutelekeza familia yake.

Soma vema hiyo ni Mahakama ya Manzo!
 
Hayo maneno mwambie aliyeleta hii thread humu JF hivi kujua kiongozi wetu anavyoishi ni udaku...
leo hii umekubali Dr SLAA ni kiongozi wako makubwa haya ni kweli alishinda uchaguzi mkamchakachua.
 
Back
Top Bottom