OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,336
wanatakiwa wapigwe mawe hadi wafe hawa.
insane!
wanatakiwa wapigwe mawe hadi wafe hawa.
anaezini na mke wa mtu nae mke wake ataziniwa tu,anaezini na binti wa mtu nae bint yake huziniwa tu,anezini na mke wa jirani nae mke wake huziniwa tu.hata huyu hatoki,ipo siku atagongewa tu.Huyo hapo kwenye red title yake stahiki ni kimada mstaafu.Hana hoja akitaka arudi tu huko magamba wanakomfadhili, kimada hana talaka.
hebu iweke wazi zaidi, huwa sipendi udaku lkn kwa jinsi magamba wanavomsakama doctor iweke wazi wakae kimyaTunangoja kutangazwa kwa ndoa ya JK na Rahma Kharooooos Kasiiiga huko tuendako. Heri Dk Slaa ameweka wazi kuliko wanaojaza vimada kila sehemu na kuwaficha kwa gharama ya umma. Viongozi wetu badilike tafadhali.
Kesi iliyopo mahakamani hivi sasa ni kati ya rose kamili slaa vs wilibrod slaa dr.hii hati ya josephine na mahimbo unaihusishaje hadi uweke hapa kama sio kutumika.
Mahimbo ndio alianza kumtelekeza Josephine, tena anaishi na mwanamke mwingine na kuzaa naye. Josephine ameanza mahusiano na Dr. Slaa zaidi ya miaka miwili baada ya kutelekezwa. Mambo ya binafsi yanatafutiwa faida za kisiasa. Acha kutumiwa na watu kushabikia usiyoyajua.
Mambo ya kutengana mke na mume Dr. Slaa si wa kwanza. Watoto wenyewe sasa hivi ni vijana wakubwa zaidi ya miaka 18 na hawajalalamika kutelekezwa wala kukosa matunzo. Mama yao ni Mbunge naye akisema ameshindwa kutunza watoto atakuwa mwongo.
Lakini Dr. Slaa na Rose Kamili walikuwa tayari wana tofauti kubwa sana ambazo haziwawezeshi kuendelea kuishi pamoja. Kama ambavyo Nelson Mandela na Winnie walifikia hatua wakatengana kisha Mandela akamuoa Graca Machel, si kitu kipya kwa Dr. Slaa wala hakina sura mnayotaka kipate.
kwa hiyo dr slaa sio mwaminifu katika ndoa zake,inawezekana kabisa hata huyu josephine mahimbo nae baadae akamkimbia pia km alivomtosa rose.
Chadema bana kwa kuchagua mambo leo mahakama imetenda haki lakini linapokuja suala la Lema mahakama imetumwa na Ikulu...
Vipi kuhusu madai ya Rose Kamili, ya Dr Slaa kutelekeza familia yake.
japo sheria inawatambua mwanaume na mwanamke walioishi pamoja kwa muda fulani kama wanandoa pia.sasa sijajua kama nayo inahitaji formal divorce,hiyo ya Slaa na Rose Kamili
Makubwa haya!
Kama mahakama imetoa hati ya talaka tarehe 16 april mwaka huu, maana yake ni kwamba dr slaa kabla ya tarehe hiyo alikuwa akitembea na mke wa mtu wazi wazi ambayo ni kinyume cha sheria za jamhuri ya muungano wa tanzania, na ni kinyume cha maadili ya kikristo na ni kinyume cha maadili mema.
Sioni ni kwa namna gani slaa anakuwa mfano mwema kwa jamii!. Kama anaweza kuiba mke wa mtu atashindwa vipi kuiba pesa ya umma akiingia ikulu?.
Natangaza 21 July kuwa siku ya pumziko ili kusheherekea ndoa ya mkombozi wa watanzania. Hutaki jinyonge!
Makubwa haya!
Kama mahakama imetoa hati ya talaka tarehe 16 april mwaka huu, maana yake ni kwamba dr slaa kabla ya tarehe hiyo alikuwa akitembea na mke wa mtu wazi wazi ambayo ni kinyume cha sheria za jamhuri ya muungano wa tanzania, na ni kinyume cha maadili ya kikristo na ni kinyume cha maadi
Sioni ni kwa namna gani slaa anakuwa mfano mwema kwa jamii!. Kama anaweza kuiba mke wa mtu atashindwa vipi kuiba pesa ya umma akiingia ikulu?.
wanatakiwa wapigwe mawe hadi wafe hawa.
FJM, Kwani Padre Slaa anaruhusiwa kufunga ndoa chachi?
wanatakiwa wapigwe mawe hadi wafe hawa.
FJM, Kwani Padre Slaa anaruhusiwa kufunga ndoa chachi?
Tafsiri ya "kutelekeza..." kisheria ina maana kwamba anayemwacha mwenzake ndiye anayeweza akawa ametelekeza au aliyeachwa ndiye ametelekeza. Hivyo, ushahidi ndio unaoonesha nani kamtelekeza mwenzake na siyo tu madai ya mtu.Chadema bana kwa kuchagua mambo leo mahakama imetenda haki lakini linapokuja suala la Lema mahakama imetumwa na Ikulu...Vipi kuhusu madai ya Rose Kamili, ya Dr Slaa kutelekeza familia yake.