Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,549
- 86,143
Labda kashtukia dili kuna mzigo usio halali humo ndani, safi sana keep it up, maana kuna watu wakishasikia tu, ni mzigo wa bosi au nimetumwa na bosi/rais/PM/ RC/DC na wengineo lazima geti lifunguliwe, ni mazoea ya kijinga sana, ukishasikia ni mkubwa tu tunanyenyekea na kuvunja kanuni na taratibu, keep it up, hamna kuwaruhusu hadi kuwe na sababu maalumu ya kufanya hivyo wasituone hatujaamka bado.
Hata wale wanyama wetu isngekua kuogopana labda wangesalia hapa nchini ila wapuuzi fulani waliposikia ni mzigo wa kigogo fulani au kwasababu ni ndege ya jeshi wote wakanywea, pumbafu kabisa, komaaa nao ikibidi wape maji ya kunywa