Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,387
- Thread starter
- #41
wewe msimamo wako ni upi?tuseme kweli daima na fitina(UCHONGANISHI) kwetu uwe mwiko....!
Tulikuwa tunaweka sawa na si KUJIVUNIA,wala KUPOTOSHA
NGUVU MOJA katika maendeleo yetu....kweli wanakula ila hata wasipokula tuseme wamekula? na walipokula tuseme hawajala? NOOOO!
NDIYO YAKO NA IWE NDIYO ..NA SIYO YAKO NA IWE SIYO....!