Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
hatutaki kitu kama hii..tunataka nchi iwe na ndege zake na ziweze ku compete na nchi nyingine.. kwanza hapa tunaitangaza nchi na ajira kibao tu
huwezi kuniambia kuwa ndege zilipotea au kufa au shirika limekufa kwa sababu eti hakuna abiria, abiria wapo kibao sema vichwa marais wetu ndio mabuyu
tunakufa kwa kiu baharini , huu si ni uzembe? mimi nina hasira sana juzi juzi kenya airways walinifanyia dharau kubwa sana ndio maana nimekasirika na hapa kial kikicha watu wanakuaj na malalamishi ya hii kenya airways.. kwa nini mmeua Tanzania airways?
Mkuu nilikuwa nataka tu kufahamishwa kuhusu umiliki wa national flag carrier. Abiria wapo kibao si unaona Precission wanawatema abiria wa kigoma.