ngoja ntakuletea mbuzi wa nampula....
wait a bit...
si unaweza kuja Mzq na kuwa pamoja?
kiukweli nakumiss hadi rohoni...
njoo hny
tusiwachoshe na wengine...
Cc Mamndenyi...
itapendeza sana na karibu mno!!
uage lakini...
Fisi hakabidhiwi bucha!!
Haya bwana mdogonaona ushajibiwa best shemeji...
japo kuwa umeuliza na nilisema isiwe swali
Poa....naona ushajibiwa best shemeji...