Nayamiss sana Mambo ya Mke wangu, Jamani!!

Mamndenyi naomba uje kunielewesha hii kauli. Spendi kuona napishana lugha na mke wangu. Naomba unitranslatie hayo maneno ya kwanza. Mbona kama yamekaa style ya kuukwaza moyo wangu?. mia

baby figganigga naomba unisamehe I never ment to hurt you

nimeweka ka kiingereza kuonyesha msisitizo,ila kwani kuna ubaya mtu ku miss shemeji yake
 
Last edited by a moderator:
shansarie nakuomba umuonye mmeo. Mwambie awe na adabu sio kumzoea zoea mke wangu. Anammisimisi nini mke wa mtu?. Hayo macho mia mia yake ayalete kwako. Mia

mmmmh macho hayana pazia na kutamani tumeumbiwa binadamu
Ila namwamini kiwatengu ujue afu hao wanao mmiss nimeshawazoea mwanzo nilikuwa naumia roho sana ila siku hizi napotezea as long as anarudi nyumbani mapema na anajua wajibu wake sina hila
 
Last edited by a moderator:
baby figganigga naomba unisamehe I never ment to hurt you

nimeweka ka kiingereza kuonyesha msisitizo,ila kwani kuna ubaya mtu ku miss shemeji yake

Kilicho nitisha ni huo ushemeji huku mnazima taa. Lakini kwa kuwa umeomba msamaha sina budi kuwa mpole na kukusamehe ili kudumisha mapenzi na wewe. Nakupenda sana mke wangu. Mmwaaaa.....!!!. mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom