Nayamiss sana Mambo ya Mke wangu, Jamani!!

Hajambo mpenzi,sijui shem wangu huko?
Erickb52 hajambo?

Ngoja nimjibie....nimetoa mchango mkubwa sana wa ushawishi apande hata kwenye mtende huko Msumbiji apate NETWORK aongee na mkwe....na ushawishi wangu umefanikiwa kwa 100 asilimia.

Umeridhika bestitle
 
Back
Top Bottom