Nayamiss sana Mambo ya Mke wangu, Jamani!!

jama jama jama jama jama jama jama jama jama jamaaaaaaani mbona wantafutia majanga shosti mi niliomba wakunitoa upweke nikampata Excellent tulipiga nae hadithi sana na si vinginevyo Bishanga yeye alitaka kunihonga nyumba bila malipo,ila nikagundua ana porojo tu wake zake wenyewe wanalala kwenye mbavu za mbwa

hahahaaa!!halo ya king'amuzi
mi ngoja nikae kimya lolz!!
 
Yes i hope unaanzaanza ku cop sasa na mabo ya mjengoni, usije mambo yataka sawa tu! mpe hi mke wangu @eaven on earth mwambie nimemmis sana!

yeah...... Kidogo sasa naanza pata mwanga.....! Halafu umesema nimsalimie nani??????

Cc: figganigga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom