ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,128
- 49,863
Chadema Huwa mnachekesha na kushangaza sana.
Unakuta mko busy Mjini kuhadaa bodaboda,kupiga picha za kile mnaita mafuriko na kutupia Twitter huku mkijifariji kwamba Mna watu na mnakubalika sana wakati kiuhalisia hamjui wapi Watanzania wengi wanaishi..
Sasa Kwa taarifa yenu tuu ni kwamba Wakaazi wa Vijijini ni mara 2 ya Wakaazi wa Mijini hivyo mpaka hapo mnajisumbua tuu..
Yaani Kwa hesabu simple tuu kwamba hata mshinde uchaguzi miji yote Tanzania ,(ambapo hamuwezi) na CCM washinde Vijijini tuu hamtakaa mchukue Nchi..
Mwisho,Chadema niwaeleze ukweli mwingine mchungu ni kwamba sehemu ambazo moishinda ni Kwa vile ccm iliwakata wagombea
wa ccm waliokuwa wanakubalika eg Nkasi..
===
Idadi ya Watu nchini Tanzania kwa umri
Kulingana na matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika Oktoba 23, 2022 yanaonyesha kwamba idadi ya Watanzania wanaoishi maeneo ya Vijijini ni karibu mara mbili ya wale walioko mijini.
Aidha, kulingana na matokeo hayo ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu @nbs.tanzania kundi la Watanzania wenye mwaka 0 hadi 19 ambao ni 32,672,377 ndilo lenye watu wengi zaidi ambao ni zaidi ya nusu ya watu wote 61,741,120.
My Take
Ni vyema mkajiandaa Kisaikolojia msije kuanza kusema mumeibiwa maana huko Vijijini watu wanataka uwaoneshe ulichofanya sio porojo za mdomoni.
Pia Huko Mjini Kuna Vijana wengi na unfortunately Huwa hawapigi kura na ndio washabiki wenu wengi,nawapa pole in advance😁😁