johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,018
- 142,058
Hapa Mwembetogwa ndio Mkemia mwingine Mwakibasa alijizolea umaarufu mkubwa sana hadi kumbwaga Jasusi mbobezi Dr Hassy kwenye uchaguzi wa Kwanza wa vyama vingi 1995 kwa ticket ya NCCR mageuzi.
Leo Komredi Makonda atakuwa hapa na huenda Makamanda wengi wa Chadema wakiongozwa na Msigwa watakabidhiwa Kadi za CCM, mkoa aliosoma Shujaa Magufuli.
Ni kwamba Watu wamelala uwanjani kumsubiria Mwenezi wa CCM na Timu yake.
Navalonge swela 😂🔥🐼