Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
mchovu wewe unaelilia pesa za fild mkuu,me nilitoka huko ulipo wewe yapata miaka 20 ilyopita.huelewi au sieleweki? Kwa akili yako kinyume cha 60,000 ni milion? Mi kupewa hizo pesa kunakujaje? Hakika humu kuna wachovu waliojificha chini ya kivuli cha ugreat thinker.