Nauli tsh. 60,000 kwenda field; vigezo gani vimetumika?

huelewi au sieleweki? Kwa akili yako kinyume cha 60,000 ni milion? Mi kupewa hizo pesa kunakujaje? Hakika humu kuna wachovu waliojificha chini ya kivuli cha ugreat thinker.
mchovu wewe unaelilia pesa za fild mkuu,me nilitoka huko ulipo wewe yapata miaka 20 ilyopita.
 
Sasa dogo unavyolalamika hivyo......si uende HESLB????????siku hizi wana ofisi kila KANDA,,,,,,,,acha kulialia.......wewe si una akili MBINUKO??????
Kuna malalamiko mangapi hapa JF? Nao tuwaambie waende bungeni au ikulu? Muda ukifika utaelewa tu,, kama unafikiri kujadili haya ni kulialia hakika unapotea.
 
mchovu wewe unaelilia pesa za fild mkuu,me nilitoka huko ulipo wewe yapata miaka 20 ilyopita.
wewe kutoka huku unakodai mimi nipo, miaka 20 iliyopita hakuhalalishi upupu wako wa kufikiri kuongelea pesa za field ni kulialia.
 
Cost sharing hujawahi kuiskia????kama umepewa pungufu changanya na zako,ila bodi wanapokupa hela ya nauli hukupa ya kwenda na ya kurudia

kidogo umeanza kushirikisha akili, ila kujiona wewe mkubwa na wengine ni wadogo unakosea. Kumbe unajua ni nauli ya kwenda na kurudi, ndiyo maana nikauliza kwanini 60,000? Ni nauli ya kwenda wapi?
 
Kwenda field ulikoomba na kupangiwa......
kidogo umeanza kushirikisha akili, ila kujiona wewe mkubwa na wengine ni wadogo unakosea. Kumbe unajua ni nauli ya kwenda na kurudi, ndiyo maana nikauliza kwanini 60,000? Ni nauli ya kwenda wapi?
 
Si lazima sana,mfano kama unasoma chuo chochote hapa da,na field unafanyia dar baaaas,hupewi hela ya NAUL,the same to mwanafunz anesoma SUA,na anafnyia field araundi Mo town kumbe unaweza kujadili hoja? Katika mifano uliyoitoa kuna waliopewa 60,000 alafu kuna watu wanatoka Dar kwenda Mwanza wamepewa 6,000.
 
It cant be kuna makosa hapo,nauli huwa hazitolewi kwa madaraja,hata kama mtu anapata asilimia ishirini nauli anapewa ni hiyohiyo,na huwa wanakosea sana,unaweza ukapangiwa Tanga ukapewa nauli kama ya BUKOBA,MWISHO WA SIKU BODI WANAPASWA KUJIBU,SAWA MKUU?????NAISI UNOGOPA KUITWA DOGO NA UNAKASIRIKA KWELI
Si lazima sana,mfano kama unasoma chuo chochote hapa da,na field unafanyia dar baaaas,hupewi hela ya NAUL,the same to mwanafunz anesoma SUA,na anafnyia field araundi Mo town kumbe unaweza kujadili hoja? Katika mifano uliyoitoa kuna waliopewa 60,000 alafu kuna watu wanatoka Dar kwenda Mwanza wamepewa 6,000.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom