nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,369
Mi ndio maana nimeshindwa kumshangaa...watu tunafanya mazoezi daily kufukuza unene yeye anaulilia.
Unless kama ana tatizo la eating disorder...huo unene anaotafuta anatafuta matatizo...ni rahisi sana kunenepa ...mziki unakuja pale unapotaka kupungua. Na mbaya zaidi umri ukienda huku mwili umezidi kipimo...ni obvious mtu huwezi kuufanyisha mazoezi tena. Ni kusubiri stroke tu. Ukiwa kijana pigania mwili wa afya kabla mifupa haijakomaa.
Akitaka kujua madhara ya unene aende pale wanapouza mashine kwa mamilioni kadhaa za kufanyisha watu waliopooza mazoezi...wanaopata stroke wengi ni sababu ya obesity. Na kwa sasa naona magonjwa haya yamezidi kuongezeka Tz.

Lis ckushauri utafute kujinenepesha! Me camin kama ni kwel haupendezi, na kama ni kwel labda tatizo linaweza kuwa ni uchaguzi wa viwalo! Me nakushauri utafute fashionist akupe guide ya kuvaa nguo zinazoendana na mwili wako!