Nauchukia Mwili wangu: Naombeni Msaada.

Status
Not open for further replies.

Lis

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
471
345
Mimi ni binti wa,miaka26, tatizo langu ni kuwa mimi ni mwembamba sana hadi ninajichukia. Kiasi kwamba hata nikivaa nguo nahisi hazinipendezi. Nahitaji niongezeke angalau hata kidogo. Mwanzoni nilijua nikwasababu ya,masomo. Sasa nimeshamaliza chuo na nina mwaka sasa lakini sioni dalili zozote.

Jamani naomba mnisaidie ushauri,nifanye nini,au nitumie nini niweze kuongezeka hata kídogo...
 
kunenepa mbona simple...fata menu hii
asubuhi juice glass mbili za embe na karoti ...na wali kilo moja..pia maharage bakuli mbili
saa nne uji wa soya na ulezi lita tatu
mchana kitimoto kilo mbili na ndizi tato
saa kumi milki shake glass tatu na chocolate tatu
saa kumi na mbili grandmalta tano
usiku mguu wa mbuzi na ugali sahani mbili
wiki moja tu utajisahau
 
jamani Smile mbavu sina ma dearest.

bidada naona hata kuandika imekuwa kiwembamba wembamba hivyo hivyo. to me punguza mawazo na ule vizuri pia jikubali tu manake kuna watu ambao ni wembamba labda mpaka wazae ndio wananenepa tena kidogo tu.binafsi jikubali na ishi kwa raha bana usijinyongeze ndio utakonda zaid`
 
Last edited by a moderator:
Wembamba dili we unaukana.......! kama nguo tafuta mapigo yanyoendana na mwili wako mbona utapendeza tu!
 
ok,
but
ni
aina
ya
cm
nnayotumia,ndiomana,unaona
nimeandika,kiwembamba,
nikiandika
kiunene
ndo
hutanielewa
kabisa,coz
nikiacha
space
nahamía
mstari
mwingine.
 
kunenepa mbona simple...fata menu hii
asubuhi juice glass mbili za embe na karoti ...na wali kilo moja..pia maharage bakuli mbili
saa nne uji wa soya na ulezi lita tatu
mchana kitimoto kilo mbili na ndizi tato
saa kumi milki shake glass tatu na chocolate tatu
saa kumi na mbili grandmalta tano
usiku mguu wa mbuzi na ugali sahani mbili
wiki moja tu utajisahau
du,
ntajaribu
bt
cdhan
kama
ntaweza.
 
Tupe mchanganuo wa lishe yako kwa wastani kwa siku...
Unafanya kazi gani, na wapi...
Stress zipi unadhani zinakusumbua sana...
 
yan
unanikatisha
tamaa
kabisa.
 
Tupe mchanganuo wa lishe yako kwa wastani kwa siku...
Unafanya kazi gani, na wapi...
Stress zipi unadhani zinakusumbua sana...

kiukweli
cna
stress,zaidi
ya
hii
yakukonda,kazi
nafanya
kwenye
kampuní
moja
ya
simu,kula
nakula
mlo
wa
kawaida
2,
ambao
unatakiwa
kwa
binadamu
yeyote,
haya
nambie.
 
kiukweli
cna
stress,zaidi
ya
hii
yakukonda,kazi
nafanya
kwenye
kampuní
moja
ya
simu,kula
nakula
mlo
wa
kawaida
2,
ambao
unatakiwa
kwa
binadamu
yeyote,

haya
nambie.

Mi nataka nijue kiasi gani unakula. Maana kimaumbile umeumbwa mwembamba, but kuna wadada nilikuwa nawafahamu wembamba, but walikuwa wanakula chakula kidogo sana, walipokuja kuanza kula cha kutosha wakaongezeka sana...
 
kiukweli
cna
stress,zaidi
ya
hii
yakukonda
,kazi
nafanya
kwenye
kampuní
moja
ya
simu,kula
nakula
mlo
wa
kawaida
2,
ambao
unatakiwa
kwa
binadamu
yeyote,
haya
nambie.
ahahaaaa dah duniani kuna stress jamani loh
 
Mweeh wengine wanautafuta huo wembamba wengine hawautaki! Anyway try to relax punguza mawazo yasiyokua ya lazima,pata muda wa kutosha kulala, ongeza msosi kwa wingi especially carbohydrates!
 
Kula mayai ya kienyeji 2 kila siku matunda ndo iwe chakula kwako juise
 
Hahaha! Sometimes huwa nadhani Mungu akituangalia anachoka kabisa! Wembamba wanataka unene, wanene wanawekeza kwenye diets za kila aina (ati 2 weeks diet laki 6 za madafu, kha! Na kitimoto na mbuzi hauli!)

Pole na matatizo mwaya!
 
kunenepa mbona simple...fata menu hii
asubuhi juice glass mbili za embe na karoti ...na wali kilo moja..pia maharage bakuli mbili
saa nne uji wa soya na ulezi lita tatu
mchana kitimoto kilo mbili na ndizi tato
saa kumi milki shake glass tatu na chocolate tatu
saa kumi na mbili grandmalta tano
usiku mguu wa mbuzi na ugali sahani mbili
wiki moja tu utajisahau

Duh! bonge la diet!..nahs atamzidi Mh.Komb..
 
Tafuta mume uolewe kisha omba ujifungue baada ya miezi 6 watu watakusahau..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom