Nauchukia Mwili wangu: Naombeni Msaada.

Status
Not open for further replies.
Dunia hii inamambo wengine wanapunguza mwili wengine wanataka mwili dah basi vurugu tu
 
ok,
but
ni
aina
ya
cm
nnayotumia,ndiomana,unaona
nimeandika,kiwembamba,
nikiandika
kiunene
ndo
hutanielewa
kabisa,coz
nikiacha
space
nahamía
mstari
mwingine.

Kweli wewe wembamba umekukabili. kila neno kwenye mstari wake ili mradi tu wembamba udhihirike! Usijali huo wembamba wako wengine wanautamani hawaupati.
 
[my dia sikushauri kukimbilia maakuli jiangalie una shp gani unaweza ukanenepa ukawa kituko .com hapo ndo utachanganyikiwa zaidi na kujichimbia ndani aliyekuumba anajua uzuri wako uko hapo ulipo mpendwa cheers
 
uwe unazinywa naniliu za shemeji....nakupa mwezi tu , utarudi hapa kutoa shukurani
 
mimi
ni,binti
wa,miaka26,
tatizo
langu,mimi
nimwembamba
sana,adi
ninajichukia,kiasi
kwamba,ata
nikivaa,nguo
nahisi
hazinipendezi,nahitaji,niongezeke
angalau
ata,kidogo,mwanzoni,nilijua
nikwasababu
ya,masomo,nimeshamaliza
chuo,nna
mwaka,sasa
bt,sioni
dalili
zozote,nisaidien
ushauri,nifanye
nini,au
nitumie
nini
niweze
kuongezeka
ata
kídogo
jamani.

Binti si ulishawahi kwenda dukani ukakuta bidhaa ziko za kila rangi na saizi tofauti? Kama hazipati wateja basi zisingewekwa madukani. Jipende nafsi yako na uiringie kabisa kwani wateja wapo na usishangae kuwa Madam X akawa anakuona umefaidi kwa huo wembamba.
 
kunenepa mbona simple...fata menu hii
asubuhi juice glass mbili za embe na karoti ...na wali kilo moja..pia maharage bakuli mbili
saa nne uji wa soya na ulezi lita tatu
mchana kitimoto kilo mbili na ndizi tato
saa kumi milki shake glass tatu na chocolate tatu
saa kumi na mbili grandmalta tano
usiku mguu wa mbuzi na ugali sahani mbili
wiki moja tu utajisahau


Khaaaa....... Smile jamaniiiiii.
 
kunenepa mbona simple...fata menu hii
asubuhi juice glass mbili za embe na karoti ...na wali kilo moja..pia maharage bakuli mbili
saa nne uji wa soya na ulezi lita tatu
mchana kitimoto kilo mbili na ndizi tato
saa kumi milki shake glass tatu na chocolate tatu
saa kumi na mbili grandmalta tano
usiku mguu wa mbuzi na ugali sahani mbili
wiki moja tu utajisahau

Hahahah lol,nina wac2 we mganga wa kienyeji au Dr uliekwenye mgomo.
 
Tafuta mume uolewe kisha omba ujifungue baada ya miezi 6 watu watakusahau..

nikimtafuta
uyo,mume
kwaajili,ya
kunenepa,iyo
ndoa,itakua,ndoano,bora
anitafute
mwenyewe
best.
 
usiogope hakuna mwembamba duniani kuna mrefu na mfupi tu usiwaze sn siku itafika utananenepa.
 
kunenepa mbona simple...fata menu hii
asubuhi juice glass mbili za embe na karoti ...na wali kilo moja..pia maharage bakuli mbili
saa nne uji wa soya na ulezi lita tatu
mchana kitimoto kilo mbili na ndizi tato
saa kumi milki shake glass tatu na chocolate tatu
saa kumi na mbili grandmalta tano
usiku mguu wa mbuzi na ugali sahani mbili
wiki moja tu utajisahau

Hizo gharama si inabidi awe karibu na fisadi mmoja ili amfadhili?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom