Nimekuta SMS hizi kwenye simu ya zamani ya Mume wangu, sijazielewa naombeni mnisaidie mlioko kwenye Ndoa

Janiffer

Member
May 27, 2023
45
143
Habari,

Mimi na mwenzangu tumeishi miaka kama 13 kwenye ndoa yetu na tumebarikiwa na kuwa na watoto 2. Niseme ukweli hatujawahi kukorofishaba au kugombana tunapendana sana.

Sasa wiki mbili zilizopota kuna picha moja nilipigaga na mume wangu na watoto. Niliikumbuka nikamuuliza mume wangu kuhusu picha akaniambia ipo kwenye simu yake ya zamani ambayo ni mbovu kwa kiasi kikubwa.

Aliniambia nikaichukue na nilipoichukua akanipa password ili nichukue picha, kwa vile simu mbovu niliiangaika nikafanikiwa kuzichukua zile picha. Ila siunajua mume nikaamua kupekua kidogo simu nikaenda upande wa sms za kawaida sikukuta lolote baya ila nikakuta anatumiana sms na mtu mmoja anonekana ni mwanaume mwenzie kamsave jina la Doctor.

Kwa sms zile inaonekana alikuwa ni mwanaume nilishidwa kuscreenshoot coz simu ilikuwa mbovu hata kuandika pembeni nilishidwa coz mume alikuwepo palepale na mimi, na wameanzia mbali nafikili kuna zingine amefuta za juu, naamini zile alisahau kuzifuta, Ila ninakumbuka zilikuwa hivi.

Doctor: Kuwa na amani furahia ndoa yako, maana unaonekana wasiwasi ulikuwa nao mkubwa sana, naamini Sasa utakuwa na furaha na kumuamini mke wako.

Mume wangu: Asante sana hofu ilikuwa ni kubwa sana maana hii ishu nilifikisha mpaka kwa baba na baba akanishauri hivyo nilijaribu kufuata utaratibu wa kiserikali ila ulikuwa ni mgumu , na sikutaka nimshirikishe mke wangu. Kwa majibu haya nina amani sasa na furaha. Asante sana kwa ninisaidia.

Doctor: Ni changamoto za ndoa kijana hayo mambo yapo kwa wanaume wenzio wanayakuta hayo pole sana be strong now.

Mume wangu: Asante maana mimi sijawahi hata kucheat hata siku moja, sasa ningepata tofauti sijui ingekuwaje daaa. Maana nilienda mpaka kenya kupata jibu sahihi.

Doctor: Pole sana kwa vile ushajua basi kuwa Safi.

Mume wangu: Asante sana maana hata Baba nimemwambia kasema kama majibu yapo vizuri basi hakuna haja tena na kuwa na wasiwasi na mke wako.

Zipo nyingine sms zinaendea ila hizi zimenitia wasiwasi. Nimefikiria sana alifanya nini mume wangu, nimewauliza watu wengi kwenye magroup yetu ya wanawake na magroup ya ndoa. Wengi wanasema tuu achana nayo kwa vile ushaona kuwa hakuna shida yoyote na mume wako hajawakukucheat so usiwe na wasiwasi.

Ila mimi nahitaji kujua ni nini hicho mpaka kwenda Kenya?

Naombeni mnisaidie.
 
DNA hiyo, just be happy and proud. Usianze kurefusha mdomo ukaanza habari za ng'wee ng'wee sijui hauniamini pyee pyee pyee.
Tulia
 
Hao watoto yaonesha hawajafanana na baba yao Mwamba Akashtuka. Sasa Umejua, kaa tulia na usiulize yasiyokuhusu maana huwa hamchelewi kuharibu kutaka kujua usiyopaswa kujua.

Ngoja Tumalizie Game ya Yanga kwanza maana tumefungwa hapa akili haziko sawa zipo kimchezo mchezo
 
Habari,

Mimi na mwenzangu tumeishi miaka kama 13 kwenye ndoa yetu na tumebarikiwa na kuwa na watoto 2. Niseme ukweli hatujawahi kukorofishaba au kugombana tunapendana sana.

Sasa wiki mbili zilizopota kuna picha moja nilipigaga na mume wangu na watoto. Niliikumbuka nikamuuliza mume wangu kuhusu picha akaniambia ipo kwenye simu yake ya zamani ambayo ni mbovu kwa kiasi kikubwa.

Aliniambia nikaichukue na nilipoichukua akanipa password ili nichukue picha, kwa vile simu mbovu niliiangaika nikafanikiwa kuzichukua zile picha. Ila siunajua mume nikaamua kupekua kidogo simu nikaenda upande wa sms za kawaida sikukuta lolote baya ila nikakuta anatumiana sms na mtu mmoja anonekana ni mwanaume mwenzie kamsave jina la Doctor.

Kwa sms zile inaonekana alikuwa ni mwanaume nilishidwa kuscreenshoot coz simu ilikuwa mbovu hata kuandika pembeni nilishidwa coz mume alikuwepo palepale na mimi, na wameanzia mbali nafikili kuna zingine amefuta za juu, naamini zile alisahau kuzifuta, Ila ninakumbuka zilikuwa hivi.

Doctor: Kuwa na amani furahia ndoa yako, maana unaonekana wasiwasi ulikuwa nao mkubwa sana, naamini Sasa utakuwa na furaha na kumuamini mke wako.

Mume wangu: Asante sana hofu ilikuwa ni kubwa sana maana hii ishu nilifikisha mpaka kwa baba na baba akanishauri hivyo nilijaribu kufuata utaratibu wa kiserikali ila ulikuwa ni mgumu , na sikutaka nimshirikishe mke wangu. Kwa majibu haya nina amani sasa na furaha. Asante sana kwa ninisaidia.

Doctor: Ni changamoto za ndoa kijana hayo mambo yapo kwa wanaume wenzio wanayakuta hayo pole sana be strong now.

Mume wangu: Asante maana mimi sijawahi hata kucheat hata siku moja, sasa ningepata tofauti sijui ingekuwaje daaa. Maana nilienda mpaka kenya kupata jibu sahihi.

Doctor: Pole sana kwa vile ushajua basi kuwa Safi.

Mume wangu: Asante sana maana hata Baba nimemwambia kasema kama majibu yapo vizuri basi hakuna haja tena na kuwa na wasiwasi na mke wako.

Zipo nyingine sms zinaendea ila hizi zimenitia wasiwasi. Nimefikiria sana alifanya nini mume wangu, nimewauliza watu wengi kwenye magroup yetu ya wanawake na magroup ya ndoa. Wengi wanasema tuu achana nayo kwa vile ushaona kuwa hakuna shida yoyote na mume wako hajawakukucheat so usiwe na wasiwasi.

Ila mimi nahitaji kujua ni nini hicho mpaka kwenda Kenya?

Naombeni mnisaidie.
Kama mna watoto atakuwa aliwapima dna akakuta ni wake alikuwa ana hofu analea watoto wasio wake. So kupima angehitaji afuatr utaratibu ndo anasema ingemsumbua so kapita njia za mahumashi kwa msaada wa dr.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom