Natishika na Wanaume wanaoimba Taarab

Ngekewa

JF-Expert Member
Jul 8, 2008
7,705
1,288
Wenzangu nimekuwa nikibrowse Forum ya Mahusiano huku nikiangalia ITV ikionyesha Taarab. Kwa bahati mbaya nimekuwa nikikwazika na waimbaji wengi wa kiume kwa kipindi kirefu lakini leo kwa vile niko hapa nimeamuwa kutowa dukuduku langu.
Ni kipi hasa kinachowapelekea wenzetu wa Kiume kuipenda fani hii?
 
Kwani kuna ubaya gani? Bora hao waimba taarabu kuliko waliopo mtaani hawana a wala b.
 
Kuimba ni kipaji. wana kipaji, kama mzee Yusuf, ametushiii. nawe kajaribu kuimba walau kibwagizo tu, utakoroma.
 
Mi naona ni kama fani nyingine.. Tena wanaume waimba taarab huwa wanavimaneno fulani vitamu kusikiliza..
 
Kwani kuna ubaya gani? Bora hao waimba taarabu kuliko waliopo mtaani hawana a wala b.

Nimekutafutaje ! Mama ya Boma ? Nimeanzia Siasa holaa !
Habari mchanganyiko holaa !
Sijui International, najua uko wodini, lakini, ndy uzuri wa Prvt Hosp, Doctor nimeongea nae nikafanya nae manuva kaniruhusu niku'pik na nikurejeshe asubuhi, twen'zetu my love ukanipe .
Pumzisha kichwa na majukwaa , si ndiyo ?
 
mbona husemi unatishika na ze comedy
Na nguo zao za kike?
 
tena hao wakikulia mkeo umekwisha coz wanajua kucheza na saikoloji ya hawa viumbe in general na on bed coz muda mwingi wako nao
trust me
 
bora utishike tu maana mamabo yao si mazuri...uwakute sasa wanakula kashata za kungu utajiuliza mara mbilimbili!
 
Nimekutafutaje ! Mama ya Boma ? Nimeanzia Siasa holaa !
Habari mchanganyiko holaa !
Sijui International, najua uko wodini, lakini, ndy uzuri wa Prvt Hosp, Doctor nimeongea nae nikafanya nae manuva kaniruhusu niku'pik na nikureshe asubuhi, twen'zetu my love ukanipe .
Pumzisha kichwa na majukwaa , si ndiyo ?

hahahaha! Nakuja mpenzi. Ngoja nikamuage cousin wangu kwanza.
 
Kinachonikwaza mimi kwa hawa wanaume wanaoimba taarab ni yale maneno wanayoyatumia..
Hayajakaa kiume kabisa!!
 
Back
Top Bottom