Natishika na Wanaume wanaoimba Taarab

...mie cpendi taarab zote...
..na wanaume wanaoimba taarab ndo cwaelew kabisa....
 
Dah!Jamani tukubali kwamba taarabu imekaa kike zaidi maana 99% ya maudhui yake ni mipasho ya wanawake tu,binafsi sipendi taarabu ila inaweza tokea nikatokea kuupenda wimbo flani wa taarabu kutokana na kuwa nausikia ukipigwa kila sehemu!!Mwanaume anayeimba taarabu na yule ambaye ni adicted na taarabu hata mimi namtilia mashaka maana sijaona burudani inayopatikana humo zaidi ya kupigana vijembe wanawake na matusi ya mafumbo!!Dume rijali haliwezi kuimba au kuwa taarabu addicted!!
 
Dah!Jamani tukubali kwamba taarabu imekaa kike zaidi maana 99% ya maudhui yake ni mipasho ya wanawake tu,binafsi sipendi taarabu ila inaweza tokea nikatokea kuupenda wimbo flani wa taarabu kutokana na kuwa nausikia ukipigwa kila sehemu!!Mwanaume anayeimba taarabu na yule ambaye ni adicted na taarabu hata mimi namtilia mashaka maana sijaona burudani inayopatikana humo zaidi ya kupigana vijembe wanawake na matusi ya mafumbo!!Dume rijali haliwezi kuimba au kuwa taarabu addicted!!


Mziki wa taarab kazi yake ni kugombanisha wanawake,na kuonyesha kuwa wanawake kazi yao masaa 24 ni kugombania wanaume tu bora hata nimsikilize Juma Nature naweza jifunza kitu.
 
Sauti zina nini na hivyo vidole juu inakuwaje?
Nipe na mifano ya hao waimbaji wanao kukwaza

Itabidi uangalie hiyo Taarab na kuangalia waimbaji wa jinsia zote mbili na utawaona hao wanaovuka mipaka kwenda kwa wenzao!
 
mtu kama mzee yusuph kuenesha urijali wake ana mke zaid ya mmoja...

mbona hukwaziki na ze comedy wanaovaa nguo za kike na kuiga sauti kabisa ....

ni sanaa tu mkuu na sanaa ina wigo mkubwa

cheki hii clip mzee yusuph alvyokuwa DC na mashabiki wake ..





Pengine yeye ni mmoja wa walionifanya nisigeneralize waimbaji wote!
 
Last edited by a moderator:
bora hata wewe unatishika tu.
Mie nawaogopa, akikatiza mtaani natimua mbio.

Mwanamme kajilegeza kama tonge limepakwa mlenda? No, no!

Nashauri ubaki nyumbani kulinda kwani wenzetu kwa hao mmh!
 
Bora tu wabara wasijue mambo ya kimwambao.
Mwanamme gani kiuno legelege, jicho nusu mwezi, kidole kinapepea hewani kama antena ndogo za TV?

Labda kwa kuwaangalia tu, but for consumption, hell NO.
Walisema zamani "zumari ikipigwa kisiwani, Bara hucheza"! Mbona hakuna kurudi nyuma Dar kumejaa vikundi vya Taarab na kila siku vinazaliwa vipya!
 
usichokipenda wewe c wote hawapendi,na ukipendacho wewe wengine hawapend.So hakuna kukritisaiz wenzio:A S-frusty2:

Umetumia neno halisi. Na kuwepo kwa neno hilo ndiko kunakonihalalishia mimi kufanya na hao wengine kama wewe kunicritisize miye kwa kucritisize wengine na mapenzi yao. Umejieleza vizuri dogo kuwa dunia ni uwanja wa fujo na hicho ndio kinachonipa kiburi cha kujieleza!
 
na mm pia natishika na ww mwanaume kubrowse taarab

That is up to you lakini kwa bahati mimi sikuwa nikibrowse Taarab lakini nilikuwa kwenye Jamii Forum na mbele yangu kuna ITV ikionyesha Taarab hivyo mimi si mmoja wa hao wanaobrowse Taarab!
 
Mi naona ni kama fani nyingine.. Tena wanaume waimba taarab huwa wanavimaneno fulani vitamu kusikiliza..
Umeangalia vidole vyao vya mkononi wanavyoviweka? JE mapozi? Hakika mtoa mada ameona ninachokiona kwa wengi wao dalili za "kukameruniwa"
 
nafahamu kidogo sana juu ya hili...mara nyingi wanaume wanaopenda(wasikilizaji na waimbaji) muziki wa twaarabu wana asili ya mwambao...tanga,pwani,zenj na kwingineko!...ambako huko nako kuna husianishwa na mambo ya UWANI!...akina KIBELA...LOL
na kiukweli wale watu sauti zao na pozi zao zina uFEMININE!...
BTW sipendi taarab!
 
Mimi natishika na waimbaji wote tu sio lazima waimbe taarabu tu , wawe wakiume au wakike, nawaona kama mashetani tu :cool2:
 
Wenzangu nimekuwa nikibrowse Forum ya Mahusiano huku nikiangalia ITV ikionyesha Taarab. Kwa bahati mbaya nimekuwa nikikwazika na waimbaji wengi wa kiume kwa kipindi kirefu lakini leo kwa vile niko hapa nimeamuwa kutowa dukuduku langu.
Ni kipi hasa kinachowapelekea wenzetu wa Kiume kuipenda fani hii?
Nakushangaa! Kitu kinakukwaza lakini kumbe ndio kila siku hakikupiti!

Unabrowse huku unaenjoy taarab ya Mzee Yussuf kisha unatudanganya eti inakukwaza!

Au una kisa kingine hutaki kukisema?
 
Back
Top Bottom