Natishika na Wanaume wanaoimba Taarab

...mwanaume ataimbaje taarab bana...
..ina swagger za kike...

...kisichoeleweka nin hapo...?
 
nafahamu kidogo sana juu ya hili...mara nyingi wanaume wanaopenda(wasikilizaji na waimbaji) muziki wa twaarabu wana asili ya mwambao...tanga,pwani,zenj na kwingineko!...ambako huko nako kuna husianishwa na mambo ya UWANI!...akina KIBELA...LOL
na kiukweli wale watu sauti zao na pozi zao zina uFEMININE!...
BTW sipendi taarab!

Ndugu yangu ukiipenda au usiipende hiyo taarabu unaenea Bara hebu angalia Bongo fleva( nyimbo kama za kina Offsidetrick) nayo imeshaaingiliwa na mtindop wa Kitaarabu!
 
Nakushangaa! Kitu kinakukwaza lakini kumbe ndio kila siku hakikupiti!

Unabrowse huku unaenjoy taarab ya Mzee Yussuf kisha unatudanganya eti inakukwaza!

Au una kisa kingine hutaki kukisema?
Jawabu: Soma tena nilichoandika sioni pahala nilipoeleza kuwa nilikuwa nafatilia Taarab!
 
Back
Top Bottom