Natishika na Wanaume wanaoimba Taarab

mtu kama mzee yusuph kuenesha urijali wake ana mke zaid ya mmoja...

mbona hukwaziki na ze comedy wanaovaa nguo za kike na kuiga sauti kabisa ....

ni sanaa tu mkuu na sanaa ina wigo mkubwa

cheki hii clip mzee yusuph alvyokuwa DC na mashabiki wake ..

Last edited by a moderator:

Missy Temeke na Salma Jay Jay walitisha!

Naona Mzee hapo walimfikisha kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Kuanzia dk. ya 7 ni kufuru!

[video]http://www.eastafricantube.com/media/70298/Mzee_Yusuf_LIVE_in_New_York_Ci ty/[/video]
 
Kuanzia dk. ya 7 ni kufuru!

[video]http://www.eastafricantube.com/media/70298/Mzee_Yusuf_LIVE_in_New_York_Ci ty/[/video]

Kumbe Mnyani na ww ni mpenzi wa Taarabu...

Mimi kwa Taarabu ndio mwenyewe, taarabu ina raha yake bana, Wabara wengi hawajui mambo ya

kimwambao......nawapa pole
 
Umeanza kunishtua Nyani...........Ukila na kipofu usimshike mkono
 
bora hata wewe unatishika tu.
Mie nawaogopa, akikatiza mtaani natimua mbio.

Mwanamme kajilegeza kama tonge limepakwa mlenda? No, no!
 
Bora tu wabara wasijue mambo ya kimwambao.
Mwanamme gani kiuno legelege, jicho nusu mwezi, kidole kinapepea hewani kama antena ndogo za TV?

Labda kwa kuwaangalia tu, but for consumption, hell NO.

Kumbe Mnyani na ww ni mpenzi wa Taarabu...

Mimi kwa Taarabu ndio mwenyewe, taarabu ina raha yake bana, Wabara wengi hawajui mambo ya

kimwambao......nawapa pole
 
Kinachonikwaza mimi kwa hawa wanaume wanaoimba taarab ni yale maneno wanayoyatumia..
Hayajakaa kiume kabisa!!

Naungana na wewe Rejao, inanipa tabu hata mimi kuwatrust hawa ndugu na hasa baadhi yao wanavyokuwa connect na tabia za Bwn David Cameroun!
 
Kinachonikwaza mimi kwa hawa wanaume wanaoimba taarab ni yale maneno wanayoyatumia..

Hayajakaa kiume kabisa!!
ahhaahh Rejao maneno yepi hayooo au yale Arambaa Arambaa ammmmmmmmmm! au pale anaposema selala nautia kasi?
 
Bora tu wabara wasijue mambo ya kimwambao.
Mwanamme gani kiuno legelege, jicho nusu mwezi, kidole kinapepea hewani kama antena ndogo za TV?

Labda kwa kuwaangalia tu, but for consumption, hell NO.

hahahahahaha wachanicheke miye,Mx
 
usichokipenda wewe c wote hawapendi,na ukipendacho wewe wengine hawapend.So hakuna kukritisaiz wenzio:A S-frusty2:
 
neno sahihi ni kutishika au kukerwa?...

sidhani kama wanatisha...nafikiri wanakwaza baadhi ya watu.....
 
Back
Top Bottom