mkibunga
Senior Member
- Nov 17, 2010
- 196
- 25
NI KWELI NYOKA HUZAA NYOKA nilidhani methari za zamani zimepitwa na wakati hasa kwenye utandawazi ningeshaa makamba azae mtoto makini kumbe ni bonge la kilaza mmenishitua kaiba paper halafu kapewa ubunge kwa upendeleo ni heri ya yule mbunge waliomwengua kuliko huyu anayejiita kijana hali kichwa cha kizee na akili za kuibia kila wakati jamaa ni mpuuziHUYO JANUARY MaGAMBA NI MNAFIKI NA MCHAWI TOKA ZAMANI