Natangaza 'kumdharau' January Makamba rasmi!

Tatizo jingine la statement fupifupi kama hizo, maana halisi anaijua aliyeiweka. Sie wengine tunapapasa tu. Anaweza kuja hapa na kutoa maana tofauti na haya tunayojadili

Another hypocrit in the making.pole sana. utakumbuka shuka kumeshakucha
 
hakika january magamba anania ya kutaka kupata nafasi katika moja ya wizara hizi zinazotegemewa kuachiwa na mawaziri waliopo, sasa hataki kuonekana ni msaliti,

Amechagua njia iliyofupi. na hii ndo tabia halisi ya mnafiki na opportunist. anazidi ku-confirm maneno yetu hata ambayo tuliyasema kabla ya matukio haya. Hataki kuwa nje ya confortable zone. Kwa kuwa amechagua njis fupi na safari yake kisiasa itakuwa fupi. Hifadhini maneno gaya mtaja nikumbusha yakitimia. Tahadhari. me siyo TB Joshua. nikuweka record sawa tu wakuu
 
January makama ameendelea kupokea lawama. Pamoja na hayoanajipambanua kwamba yeye ni mtu wa aina gani. Hizi ni baadhi tu ya tweets zake
Maria Sarungi: asa politician, kejeli si kitu busara kutumia na wananchi IMO maybe a CCM memberor independent voter
JMakumba: Youshould read my tweets: I mix jokes, sarcasm, & seriousness. I don't try toohard to be who am not
Maria Sarungi: niushauri tu coz sarcasm si kila mtu anaelewa ... but plz usijali honestly justfriendly advice
Jmakamba: Okay. Send over the invoice for thisadvice as there's no free lunch. Hahahaha
Maria Sarungi: hahahaaa! kaka! Free kabisa! no worries!
Irene Kiria: Kuna Wabunge wa CCM wamekuwawakijipambanua kuwa Wabunge Vijana, naona kumbe tofauti wanayomaanisha ni yaumri pekee
Awali January Makambandiye aliyeomba mwongozo wa spika kwa kutumia Kanuni za bunge kifungu cha 68ibara ndogo ya 7, na spika kwa mamlaka aliyopewa na ibara hiyohiyo akatoa ufafanuzipapo hapo juu ya matakwa ya katiba na kanuni za bunge Ibara ya 133 ibara ndogo ya 3(a).jambo ambalo wengi wanona tasfiri yake ilikuwa ya kishabiki zaidi na ndipoMbunge wa kawe alikasirika na ku Tweet:
Halima Mdee: NaonaJanuary anaomba mwongozo... kuhusu sahihi sabini? Eti anahoji ukusanyaji wasahihi.....
Halima Mdee akaendelea: Eti anahoji uhalali wa kukusanya sahihi! I used to respectthis guy.. anaanza nitia mashaka! Nahisi hajui kanuni!
Tenna Halima akafikia mbali na ku Tweet: January... ni mnafiki. Najuaananisoma now..
Zitto alikoment: Nirahisi sana kujua waliotayari kuwa nje ya comfort zone. @JMakamba anaogopa chama chake.Hajui wajumbe kadhaa wa chama chake wamesaini
Halima mdee akarahisisha: sema lugha nyepesi.... ni mnafiki kwani hayuko humu? Hajuiwenzake wamesign? Hili suala sio la chama!
JMakamba: DadaHalima, ukipishana na mtu mawazo weka akiba ya maneno. Kuna kuzikana kesho.Siasa is not everything in life.
Hallima Mdee: kaka!Sikutegemea kama ungekasirika mpaka kufikia kutamka hayo! Samahani kaka kamaumekwazika!
 
Nilishasema hapo zamani na sasa narudia tena, na Mheshimiwa Makamba huwezi kukanusha hili kwani nina ushahidi

Wewe January, kumponda kooote Ngeleja, na kuponda ufisadi serikalini na hususani kwenye nyanja ya umeme....sio kwa uchungu kutoka rohoni...

Wewe January Makamba I DARE YOU! Si wewe uliwaambia TANESCO unapesa za investment ? Ulimwambia Mhando William G naye akaropoka hovyo kwenye wengi na ukaanza mazungumzo na wakubwa juu ya mchakato wa pesa hizo ili kufadhili mradi mmoja mkubwa???......

Hizo pesa umetoa wapi? Hao washirika wako 'wahindi' ni kina nani?

Si wewe unayepewa na MD ripoti zote za ufisadi wa Ngeleja ili ukamate wizara?
Wewe unaongea na mkurugenzi ili umlipue mtu aliyemweka pale....

Si wewe na 'mshirika wako' wa karibu mumemweka mwanasheria mkuu wa vodacom ambaye hakuiomba hiyo kazi TANESCO ili dowans ilipwe!?!

Kataa ntarudi tena..!

Mods unganisha msg yangu kwenye kichwa cha habari au mlio nae kwa FB mumwekee kwenye wall yake....

Ajibu kama hana interest kwenye miradi ya TANESCO
Duh... hapa umenifunua akili maana najua Makamba hana hela hizo lakini EL anazo anaitaka sana Tanesco kuwa mmiliki mkuu wa uzalishaji umeme nchini maana hakuna bao kubwa la kitaifa kama kushika mradi wa umeme nchi yoyote duniani.. Picha inajitengeneza yenyewe.
 
tatizo lenu la kukurupuka kwani ni akina nani aliosema wanachonga,ni statement ya kisiasa? acheni kurukia kauli za watu na ushabiki mahaba wenu bila kujua jambo
 
Hakuna kijana zee kama j.makamba,limepoteza mvuto fasta.namtaka zito awe anapingana na deo fils katika mbinu za kukwamua matatizo ya vijana wa nchi hii na hili li j makamba ***** mtozeni
 
Hivi siku hizi kampuni za simu hazifanyi biashara ya kutosha kwenye SMS? Nilitegemea hizi ziwe kwenye SMS na si kwenye mtandao.
 
Ni ngumu sana kwa haya magamba kubadilika,yanakuwa km kinyonga hubadili rangi kutokana na mazingira,km ni zao la ccm hakuna kipya hpo ndugu zangu.Nchi hii itakombolewa na watu tofauti kabisa ambao hawana uhusiano wa moja kwa moja na chama hiki tawala.
 
Ile $1milion aliyopewa na Shemeji soon itafikisha malengo kwa mtazamo wake!Like Further like Son!
 
Hivi mshaona Mbuzi akazaa mbwa au punda akazaa Kenge?Kumbukeni Kenge anazaa Kenge kwa maana hiyo Kenge mkubwa ambaye ndio mzazi wa Kenge mtoto atamrisisha Kenge mtoto, kwa maana hiyo hakuna haja ya kumsifu Kenge mdogo ati duuh huyu Kenge mdogo hapendi kula mayaii wakati kupenda kula mayai ndio utamaduni wa Makenge so siwezi umiza kichwa kwani nafahamu utamaduni wa Makenge.Hope mtakuwa mmenielewa
 
huyu si ndiye yule anayetaka uwaziri wa nishati na madini?

Inasemekana mzee wake aliwahi kusema kuwa lazima mwanawe apewe uwaziri na mkuu, mkuu kusikia hivyo akamtosa , sasa jamaa mimacho yote iko kwenye uwaziri huo wa nishati, si unajua ulaji wote uko hapo....:A S angry:
 
Kweli watu wakishiba wana dharau sana.
Sasa hiyo ndo ile "mbwata" ambayo wahenga walisema kuwa mswahili akipata masaburii hulia mbwata! J makamba nadhani sasa masaburii yake yameshaanza kutoa huo mlio wa Mbwata!! Hawezi kejeli watanzania katika ishu serious kama hii. Anaona raha gani kwa huu wizi wa mchana wa serikali yake dokozi???Mtoto wa nyoka siku zote ni nyoka. Huyu ni mtoto cha kiongozi wa CCM, kasomeshwa kwa hela za rushwa na sasa anazeeka kwa hela za rushwa so kwake rushwa na ufisadi ni part and parcel ya maisha yake.
 
huyu makamba yumo kwenye list ya watakao pata adhabu ya vijiti 2015..
Tuanza nae yeye na liz1 lazima tutawakamata kokote watakapo kuwa.wezi wakubwa wa mali ya uma!
 
Nilishasema hapo zamani na sasa narudia tena, na Mheshimiwa Makamba huwezi kukanusha hili kwani nina ushahidi

Wewe January, kumponda kooote Ngeleja, na kuponda ufisadi serikalini na hususani kwenye nyanja ya umeme....sio kwa uchungu kutoka rohoni...

Wewe January Makamba I DARE YOU! Si wewe uliwaambia TANESCO unapesa za investment ? Ulimwambia Mhando William G naye akaropoka hovyo kwenye wengi na ukaanza mazungumzo na wakubwa juu ya mchakato wa pesa hizo ili kufadhili mradi mmoja mkubwa???......

Hizo pesa umetoa wapi? Hao washirika wako 'wahindi' ni kina nani?

Si wewe unayepewa na MD ripoti zote za ufisadi wa Ngeleja ili ukamate wizara?
Wewe unaongea na mkurugenzi ili umlipue mtu aliyemweka pale....

Si wewe na 'mshirika wako' wa karibu mumemweka mwanasheria mkuu wa vodacom ambaye hakuiomba hiyo kazi TANESCO ili dowans ilipwe!?!

Kataa ntarudi tena..!

Mods unganisha msg yangu kwenye kichwa cha habari au mlio nae kwa FB mumwekee kwenye wall yake....

Ajibu kama hana interest kwenye miradi ya TANESCO


Aisee,kweli hela hazina adabu kabisa.
Yaani kuna watu kwao kudanganya ni kama sehemu ya maisha.
Wengine ukidanganya baada ya dakika 20 tu unamtafuta uliye mdanganya
umwambie ukweli maana hauna amani moyoni.
 
jan.jpg
 
Back
Top Bottom