Natangaza 'kumdharau' January Makamba rasmi!

Niliwahi kuandika thread 17 October 2011 kuhusu Makamba.
( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/183180-january-makamba-mbunge-wa-aina-yake.html )
Nili mpongeza kwa namna nilivo ona anaofanya mambo yake ya kisiasa.

Najuta kumpongeza,nahisi aibu sana,ni kosa ambalo sita lifanya tena
kwa kudhani kuna mtu ndani ya ccm ana "upendo" juu ya Tanzania.

Leo katika facebook page yake kaandika.

Juzi Halima Mdee alisema wazi wazi kwamba makamba ni mnafiki.
Leo nimeamini kwamba ni zaidi ya mnafiki,nahisi ni mchawi
na mroho wa madaraka kupindukia.

Hajawahi kuipenda nchi,wala kuwazia kizuri chochote juu ya Tanzania
ila tumbo lake tu.

Eti watu "wana chonga sana",hizi si dharau hizi?
Kwamba Zitto ana chonga sana?
Kwamba Fulikunjombe na wengineo wanachonga sana,
ila makamba ndie anae jua kila kitu.

Yes,wanao jua mwanzo wa ufisadi na hata mwisho wako
kimya tu,wanakula viyoyozi kwa kushiriki kila msiba
kila kona ya dunia,wana tembelea vituo vyote vya
utalii duniani wala hawana taarifa za mfumuko
wa bei Tanzania.

Hawataki kusema kwanini gharama za maisha ziko juu,
kwani wanajua mwanzo wake ni wao kujitafutia utajiri na
mwisho wake ni watanzania kufa kwa njaa kuteseka
na maisha magumu.

Wanajua mwanzo wa kuibiwa mabilioni ya kodi za watanzania
na wanajua mwisho wake ni watu "kuchonga sana" na wao
kukimbia kwenda kuishi nchi walizo jiandalia kwenda.

Kweli kabisa,watanzania tunachonga sana kwa sababu hatujui
kinacho endelea huko kwenye viyoyozi vyenu,lakini nyie mnajua
sana maana mnacho fanya ni ufuska huku mkijua kifo hakipo.

Endeleeni sana,acha watoto wa maskini wachonge sana,
watetezi wa wanyonge wachonge sana,ila nyie "watafuna nchi"
mkiwa mnajua mwanzo na mwisho wa kila kitu.

Hakika,siku yenu inakuja,namuomba Mungu nisife hadi niione.

Wakuu!

Kama mnakumbuka nilishaueleza unafiki wa familia hii tangu nikiwa nao Tanga wakati baba yake akiwa Mkuu wa Wilaya ya Tanga mjini. Pia wakati nikisoma na huyu Januari pale Galanos Sec. Kumbukeni alikamatwa na majibu ya mitihani na kufutiwa matokeo. Licha ya matokeo kufutiwa, cha ajabu leo ni waziri mtarajiwa. Tutegemee nini kama yeye ni zao la UNAFIKI?
 
Kaka kwa watu makini mnafiki huyu utamtambua tu... kumbuka wakati yuko ikulu alivyokuwa anatetea kila uozo.. alifanya nini alipoupata ubunge wa kulazimisha? Alitaka nafasi ya Ngeleja , hakuupata uwaziri akaanza unafiki.... sasa anaona kama Zitto kascore point, inamuuma , ni mnafiki wa kutupa.. but what do you expect from someone who cheated on a secondary school exam? and mind you he was like roughly 17 years old back then.... mtoto wa mbwa hawezi kugeuka kuwa njiwa!

Umemjua mshikaji.

hebu mwenye data atujuze
THE RISE OF JANUARI MAKAMBA.
Januari alimtoaje mzee Shelukindo?
you will be shocked.
 
makamba nizaidi ya mnafiki!Anaongozwa zaidi na tamaa ya madaraka binanfsi naamini kamwe hawezi kuwa mzalendo tna hawezi kuguswa na ugumu wa maisha unaowakabili vijana masikini....hivi kwanini kabla ya 2015 isifanyike harembee yakupeleka M4C bumbuli!
 
Wakuu!

Kama mnakumbuka nilishaueleza unafiki wa familia hii tangu nikiwa nao Tanga wakati baba yake akiwa Mkuu wa Wilaya ya Tanga mjini. Pia wakati nikisoma na huyu Januari pale Galanos Sec. Kumbukeni alikamatwa na majibu ya mitihani na kufutiwa matokeo. Licha ya matokeo kufutiwa, cha ajabu leo ni waziri mtarajiwa. Tutegemee nini kama yeye ni zao la UNAFIKI?

Ndio maana niliomba mwenye news aanike THE RISE OF JANUARI MAKAMBA (Kama ma moderators wataruhusu).
 
Shafi A Shafi katika kitabu chake Kuli alipata kuandika " Yana mwisho haya" . Anaweza kufikiri anajua mwanzo na mwisho kumbe hajijui hata mwenyewe. Shame on him
 
Wakuu!

Kama mnakumbuka nilishaueleza unafiki wa familia hii tangu nikiwa nao Tanga wakati baba yake akiwa Mkuu wa Wilaya ya Tanga mjini. Pia wakati nikisoma na huyu Januari pale Galanos Sec. Kumbukeni alikamatwa na majibu ya mitihani na kufutiwa matokeo. Licha ya matokeo kufutiwa, cha ajabu leo ni waziri mtarajiwa. Tutegemee nini kama yeye ni zao la UNAFIKI?

Duh,huyu hana tofauti na yule jamaa aloshindwa ubunge wa
Afrika Mashariki juzi hapa.
Wote waropokaji tu
 
Niliwahi kuandika thread 17 October 2011 kuhusu Makamba.
( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/183180-january-makamba-mbunge-wa-aina-yake.html )
Nili mpongeza kwa namna nilivo ona anaofanya mambo yake ya kisiasa.

Najuta kumpongeza,nahisi aibu sana,ni kosa ambalo sita lifanya tena
kwa kudhani kuna mtu ndani ya ccm ana "upendo" juu ya Tanzania.

Leo katika facebook page yake kaandika.

Juzi Halima Mdee alisema wazi wazi kwamba makamba ni mnafiki.
Leo nimeamini kwamba ni zaidi ya mnafiki,nahisi ni mchawi
na mroho wa madaraka kupindukia.

Hajawahi kuipenda nchi,wala kuwazia kizuri chochote juu ya Tanzania
ila tumbo lake tu.

Eti watu "wana chonga sana",hizi si dharau hizi?
Kwamba Zitto ana chonga sana?
Kwamba Fulikunjombe na wengineo wanachonga sana,
ila makamba ndie anae jua kila kitu.

Yes,wanao jua mwanzo wa ufisadi na hata mwisho wako
kimya tu,wanakula viyoyozi kwa kushiriki kila msiba
kila kona ya dunia,wana tembelea vituo vyote vya
utalii duniani wala hawana taarifa za mfumuko
wa bei Tanzania.

Hawataki kusema kwanini gharama za maisha ziko juu,
kwani wanajua mwanzo wake ni wao kujitafutia utajiri na
mwisho wake ni watanzania kufa kwa njaa kuteseka
na maisha magumu.

Wanajua mwanzo wa kuibiwa mabilioni ya kodi za watanzania
na wanajua mwisho wake ni watu "kuchonga sana" na wao
kukimbia kwenda kuishi nchi walizo jiandalia kwenda.

Kweli kabisa,watanzania tunachonga sana kwa sababu hatujui
kinacho endelea huko kwenye viyoyozi vyenu,lakini nyie mnajua
sana maana mnacho fanya ni ufuska huku mkijua kifo hakipo.

Endeleeni sana,acha watoto wa maskini wachonge sana,
watetezi wa wanyonge wachonge sana,ila nyie "watafuna nchi"
mkiwa mnajua mwanzo na mwisho wa kila kitu.

Hakika,siku yenu inakuja,namuomba Mungu nisife hadi niione.

walewale toka lini mtoto wa nyoka akageuka kuwa kenge?
 
Jamani this is obvious, acheni kujidanganya. J
Jaauari Makamba is the product of the present administration (like Adam Malima, Mwinyi, Nape, Kawawa) and others.
Si mnakumbuka Baba yake alikuwa nani?
Anachotaka ni kuwa waziri wa Nishati na sio kuwakomboa watanzania.
Stop cheating yourselves!
 
Duh,huyu hana tofauti na yule jamaa aloshindwa ubunge wa
Afrika Mashariki juzi hapa.
Wote waropokaji tu

Mbegu ya mhogo mchungu ukiipanda usitegemee kupata mhogo mtamu. Bora kuhangaika kupata mbegu ya mhogo mtamu itakayokuzalia mihogo mitamu. Vinginevyo ukitegemgea mhogo mchungu kuzaa mhogo mtamu utaishia maumivu ya kichwa kutokana na sumu yake.
 
mimi siamini hata mmoja ndani ya ccm wote ni nyoka hata hawa mangufuli, sitta si wasafi kama tunavyowafikiria ila muda bado tu tutasikia madudu yao
 
Jan Makamba ni mnafiki mkubwa hafai. Hata mie nilimwamini lakini kwa hili la sasa hivi ni wakuogopwa kama ukoma.
 
Eti watu "wana chonga sana",hizi si dharau hizi?
Kwamba Zitto ana chonga sana?
Kwamba Fulikunjombe na wengineo wanachonga sana,
ila makamba ndie anae jua kila kitu.............

Tatizo anajisahau kuwa mpaka sasa yeye yeye ni mbunge tu na anajivika kofia ya waziri mtarajiwa.Ni fikra hizo tu ndio zinafanya apoteze mwelekeo.

Anaweka mbele mafanikio yake ya kisiasa badala ya wananchi .Akijirekebisha hilo atawaelewa wenzake kina Deo FUkalinombe. Otherwise atajikuta anabaki kwenye lile kundi la CCM ya "wazee" ambao hawasomi future
 
Niliwahi kuandika thread 17 October 2011 kuhusu Makamba.
( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/183180-january-makamba-mbunge-wa-aina-yake.html )
Nili mpongeza kwa namna nilivo ona anaofanya mambo yake ya kisiasa.

Najuta kumpongeza,nahisi aibu sana,ni kosa ambalo sita lifanya tena
kwa kudhani kuna mtu ndani ya ccm ana "upendo" juu ya Tanzania.

Leo katika facebook page yake kaandika.

Juzi Halima Mdee alisema wazi wazi kwamba makamba ni mnafiki.
Leo nimeamini kwamba ni zaidi ya mnafiki,nahisi ni mchawi
na mroho wa madaraka kupindukia.

Hajawahi kuipenda nchi,wala kuwazia kizuri chochote juu ya Tanzania
ila tumbo lake tu.

Eti watu "wana chonga sana",hizi si dharau hizi?
Kwamba Zitto ana chonga sana?
Kwamba Fulikunjombe na wengineo wanachonga sana,
ila makamba ndie anae jua kila kitu.

Yes,wanao jua mwanzo wa ufisadi na hata mwisho wako
kimya tu,wanakula viyoyozi kwa kushiriki kila msiba
kila kona ya dunia,wana tembelea vituo vyote vya
utalii duniani wala hawana taarifa za mfumuko
wa bei Tanzania.

Hawataki kusema kwanini gharama za maisha ziko juu,
kwani wanajua mwanzo wake ni wao kujitafutia utajiri na
mwisho wake ni watanzania kufa kwa njaa kuteseka
na maisha magumu.

Wanajua mwanzo wa kuibiwa mabilioni ya kodi za watanzania
na wanajua mwisho wake ni watu "kuchonga sana" na wao
kukimbia kwenda kuishi nchi walizo jiandalia kwenda.

Kweli kabisa,watanzania tunachonga sana kwa sababu hatujui
kinacho endelea huko kwenye viyoyozi vyenu,lakini nyie mnajua
sana maana mnacho fanya ni ufuska huku mkijua kifo hakipo.

Endeleeni sana,acha watoto wa maskini wachonge sana,
watetezi wa wanyonge wachonge sana,ila nyie "watafuna nchi"
mkiwa mnajua mwanzo na mwisho wa kila kitu.

Hakika,siku yenu inakuja,namuomba Mungu nisife hadi niione.
Pole sana kwa Fault ya kudhania J.Makamba kuwa ni Mbunge wa aina yake.Nakuonea huruma kula matapishi yako nadhani ulitambua kuwa atakuwa anakufurahisha kila siku kumbe ulikuwa unajilisha au kubwia unga wa ndele.Ndugu yangu elewa kila mtu ana utashi wake hivyo si rahisi kufurahishwa kila siku na haitokei kila siku ukawaza kitu sawa na mwenzako.Jifunze huyo J.Makamba hayupo bungeni kwa ajili ya kukufurahisha wewe.Inawezekana hata nawe ni mnafiki angalia thread yako hii mpya na ile ya zamani sasa una tofauti gani na J.Makamba?
 
huyu atakua ngereja mpya si anaitaka wizara ya nishati na madini.!
 
Back
Top Bottom