Natangaza 'kumdharau' January Makamba rasmi!

KWANINI TUNAMHITAJI JANUARY ?
Zaidi ya 85% ya wafanyakazi na nguvu kaziTanzania ni vijana walozaliwa baada ya Uhuru 1961. Nusu ya vijana hawa nikizazi cha Millenia walozaliwa miaka ya 1980’s na wana umri wa wa chini yamiaka 35.Hawa wengi ni dot.com generation haawakuwepo nchi hasa ilipitia hatuagani hadi kufika hapa tulipo fikia. Hawajui yalio tokea wakati wa kujaribu serambali mbali kuanzia ubepari , Ujamaa , liberised economy , hawakuweponchi..ilipokuwa na raha na shida mbali mbali .Wengi hawajui zaidi ya kusomanchi wakati wa Ujamaa ilikua na ladha gani.wengi wamekuwa na matarajio namafanikio makubwa hasa kama yanayotokea katika nchi za wenzetu.Utandwaziunawafanya wawe na matumaini ya kufika sehemu ya kutia moyo kiuchumi na mandeleo ya nchi yao. Wengiwanapenda kuona wanaondokana na foleni zisizo isha, wangependa uwepo wa trainza kasi kutoka Dar es salaam hadi Mwanza. Wanapenda kuona nchii hii inakuwa nashirika lake la ndege..pia wanapenda waone elimu inayotolewa iwe ni elimu borainayomjenga kijana kuweza kujitolea.hakika matarajio yao ni makubwa mno..Lakiniutabaki matarajio ya vijana hawa na mafanikio ya kiuchumi kwa ajili ya kizazihichi si hasa ya kutia moyo..yana katisha tamaa na vijana wanapunguzauzalendo,wanaingia katika biashara hasi na wamekataa tamaa.
CHANGE.
Tanzania inahitaji mabadiliko ya uongozi –Inahitaji Kiongozi kijana anaye elewa nini wananchi wa sasa wanahitaji.Tunahitaji kiongozi mwenye wivu wa maendeleo mwenye kuona mbali na kuanzasafari ya kuipeka Tanzania katika maendeleo ya kisasa. Kiongozi ataehakikishavijana wanapata elimu bora kabisa ambayo itawawezesha wenyewe kujiajiri.Kiongozi mzalendo ataeweka maslahi ya nchi mbele kuliko malsahi ya CorporateEntity za nje ambazo lengo lao ni kuzinyonya nchi hizi.
Tumepita miaka 53 sasa ya uhuru viongozi wengi ni wale wale ambao tumetoka naotangia uhuru na wengine baada ya uhuru lakini mind zao na uwezo wao bado ni wa60’s na 70’s hawa tunawashukuru , wamefanya mengi sasa Taifa linahitaji CHANGE, linahitaji kijana mkakamavu, mwerevu , mzalendo, mwenye uwezo wa kutuvushahapa tulipo na kutupeleka kuleeeeee...kama alivosema Kikwete leo bungeni.


Viongozi wetu kisiasa

Hali ya kisasa Tanzania kwa ujumla ni mabaki ya wakoloni bado sisi ni memba waCommon wealth Jumuiya ya watawaliwa wa Uingereza na ‘Mkubwa’” wetu ni Malkia wauingereza na akifa ni yoyote katika watoto wa jumba hilo la mfalme.Nchi kamaMarekani na Canada –Quebec , Zimbabwe na Gambia walijitoa kwani waliona kuwepokatika Jumuia hii ni sawa ya kuwa chini ya ukoloni mambo leo wa Kifalme waUingereza.

Mifumo iliowekwa na wakoloni , elimuiliyotolewa viongozi walotayarishwa kuongoza nchi hizi huru ‘walitekwakimawazo’ na bado waliendelea kuwa watiifu kwa wakoloni hao. . Wakati wa uhuru,baadhi ya wasomi walijaribu kubadilisha lakini hawakufanikiwa ama yalitokeamapinduzi ya kijeshi au viongozi walijimilikia madaraka na kuweka maslahi yaohivyo wasomi hawa walipata matatizo na watawala. Bado nchi nyingi za kiafrikana Tanzania ikiwamo inategemea sana wale wale walokuwa wakoloni wa mataifa hayabaada ya zaidi ya miaka 50 ya kuwa huru.Tatizo hili lipo zaidi Afrika. Nchizote nyengine nje ya Afrika mfano Malaysia, Indonesia,Thailand,Philipines,Singapore, India, UAE, Oman, zimepiga hatua kubwa za maendeleo kamanchi huru zilizopata uhuru wao miaka sawa na sisi Tanzania.
Wakati Lee Kuan Yew Waziri mkuu wa kwanza Singapore akiibadilisha nchi hiokutoka kisiwa cha wavuvi hadi kuwa moja ya nchi zilizo endelea na viwanda sisitulibaki wategemezi na moja ya nchi masikini duniani.
Tujiulize kwa nini ? Nchii yetu ina kila kitu
· Watu
· Rasilimali
· Amani
Jee tumekwama wapi ? bila ya shaka tatizokubwa lipo kwenye
· Elimu duni
· Uongozi wa kikale
· Umimi
· Uzalendo kubaki ni rangi
· Uoni mfupi
Jee nini cha kufanya...
CCM ni chama pekee ambacho kama Taasisikimejijenga na kinaweza kuamua kuwa sasa Watanzania wanataka Kiongozi Mpya ,Kijana , Msomi mwenye uwezo wa kutuvusha hapa katika lindi la mkwamo wamaendeleo...lakini lazima CCM ifumbe macho katika kuamua, bado masalia ya zakale wapo na wana nguvu za kifedha na support ya watu ambao wanahakikishastatus quo inaendelea ili wafaidi keki ya Taifa pekee yao bila ya kujalimaendeleo ya Nchi ..
Jee ni nani katika wagombea wa CCM ambayendie atakua Lee Kuan Yew wetu ?Bila ya shaka yoyote..ni JANUARY MAKAMBA
Sifa na uwezo anao.Kama kweli tunataka kuondokana na majungu na siasa za 60 na 70 baso Januaryndio suluhisho.



 
Huyo jamaa hamna kitu kabisa, tena ni mnafki mkubwa sana, nashangaa watu wasiomjua wanavomshadadia yan wanamuona bonge la mtu, J MAKAMBA hafai hata uenyekiti wakijiji angejikitatu katika uandish wa habari, kama kuna anaepingana namimi afuatilie maisha duni aliyopeleka katika jimbo lake la BUMBULI, yan amerudisha maisha ya watu nyuma kama ndo kwanza miaka ya 64, anadeni kubwa sana na maisha ya watu wa bumbuli kuwatoa alipowapeleka na sijui atalipia wapi hilo deni. JANUARY JANUARY JANUARY wewe sio kiongozi una forc, kumbuka kila mtu anakarama yake, ila yeye haipo katika uongozi.

Majungu sio mtaji ufanye utajirike ongea na FACTS with Evidence
 
sikutaka kuamka saa nane usiku kwa ajili ya kitambulisho cha kupigia kura maana sikuona umuhimu wakufanya hvyoo...nilitoka zangu asubuhi kabisa na kupata kitambulisho changu....nia ni kumuweka slaa madarakani 2015 awe raic wangu.....wizi wa wanaccm kwa taifa ili, uroho wa madaraka, kuachiana nafac za uongoz rushwa na utendaji mbovu wa serikali c January makamba tu wakuangaliwa ata hao wenzake hakuna wa afadhali....
Wew pekee yako na kura yako isingetosha kumuweka slaa madarakan mimi na wenzangu weng tuliwazid idadi
 
Pole sana,umechelewa kuliona hilo.Makamba ni mmarekani aliyeko Tanzania.He is out of touch with our problems na kwa kweli hatufai kama Rais.Huyo ana represent the American elite,he doesn't represent us.
Niliwahi kuandika thread 17 October 2011 kuhusu Makamba.
( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/183180-january-makamba-mbunge-wa-aina-yake.html )
Nili mpongeza kwa namna nilivo ona anaofanya mambo yake ya kisiasa.

Najuta kumpongeza,nahisi aibu sana,ni kosa ambalo sita lifanya tena
kwa kudhani kuna mtu ndani ya ccm ana "upendo" juu ya Tanzania.

Leo katika facebook page yake kaandika.


Juzi Halima Mdee alisema wazi wazi kwamba makamba ni mnafiki.
Leo nimeamini kwamba ni zaidi ya mnafiki,nahisi ni mchawi
na mroho wa madaraka kupindukia.

Hajawahi kuipenda nchi,wala kuwazia kizuri chochote juu ya Tanzania
ila tumbo lake tu.

Eti watu "wana chonga sana",hizi si dharau hizi?
Kwamba Zitto ana chonga sana?
Kwamba Fulikunjombe na wengineo wanachonga sana,
ila makamba ndie anae jua kila kitu.

Yes,wanao jua mwanzo wa ufisadi na hata mwisho wako
kimya tu,wanakula viyoyozi kwa kushiriki kila msiba
kila kona ya dunia,wana tembelea vituo vyote vya
utalii duniani wala hawana taarifa za mfumuko
wa bei Tanzania.

Hawataki kusema kwanini gharama za maisha ziko juu,
kwani wanajua mwanzo wake ni wao kujitafutia utajiri na
mwisho wake ni watanzania kufa kwa njaa kuteseka
na maisha magumu.

Wanajua mwanzo wa kuibiwa mabilioni ya kodi za watanzania
na wanajua mwisho wake ni watu "kuchonga sana" na wao
kukimbia kwenda kuishi nchi walizo jiandalia kwenda.

Kweli kabisa,watanzania tunachonga sana kwa sababu hatujui
kinacho endelea huko kwenye viyoyozi vyenu,lakini nyie mnajua
sana maana mnacho fanya ni ufuska huku mkijua kifo hakipo.

Endeleeni sana,acha watoto wa maskini wachonge sana,
watetezi wa wanyonge wachonge sana,ila nyie "watafuna nchi"
mkiwa mnajua mwanzo na mwisho wa kila kitu.

Hakika,siku yenu inakuja,namuomba Mungu nisife hadi niione.
 
Kumbukeni kuwa huyu mtu alipewa naibu waziri kama hisani kwa baba yake! na sasa kukaa ikulu ambapo pia hisani ya kukaa ikulu sasa kaja sera ya kuwa raisi! kumbukukeni hapo kaonja unaibu tu
 
Hivi ndugu zangu nyie vijana wa taifa la Leo mnaotaka Kingozi wa Leo. Ni sababu gani haswa ambazo zimewasukuma hadi mseme maneno haya?
1. Je, ni haki zenu za kisheria dhidi ya mila na desturi zetu kama ndoa za Ushoga ambazo wazee hawawezi kuzipitisha?

2. Je, ni kutambua umuhimu wa roboti na mitambo ya digito ilowapita wazee wakati vijana wanashindwa hata kushika mundu, kufinyanga Vyungu, ama kuzalisha Asali, kutwa kucha kwenye fesiboku na twita...Lol...

3. Huu Ujana mnaozungumzia ambao kila mara na kila mgombea huuzungumzia una fikra zipi ambazo ni maajabu kwenye vitabu vya utawala bora, Uchumi na ustawi wa Jamii..

4. Je....
 
ukitembea uchi watu wataona makalio yako bure chakufanya we kunya then mav kayatupe ikulu ila naungana na ww january bado kdg@gollalumba
 
Back
Top Bottom