Natangaza 'kumdharau' January Makamba rasmi!

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Niliwahi kuandika thread 17 October 2011 kuhusu Makamba.
( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/183180-january-makamba-mbunge-wa-aina-yake.html )
Nili mpongeza kwa namna nilivo ona anaofanya mambo yake ya kisiasa.

Najuta kumpongeza,nahisi aibu sana,ni kosa ambalo sita lifanya tena
kwa kudhani kuna mtu ndani ya ccm ana "upendo" juu ya Tanzania.

Leo katika facebook page yake kaandika.
Wasiojua yanayojiri wanachonga sana.
Wanaojua mwanzo wa yote na mwisho wake hawasemi.

Juzi Halima Mdee alisema wazi wazi kwamba makamba ni mnafiki.
Leo nimeamini kwamba ni zaidi ya mnafiki,nahisi ni mchawi
na mroho wa madaraka kupindukia.

Hajawahi kuipenda nchi,wala kuwazia kizuri chochote juu ya Tanzania
ila tumbo lake tu.

Eti watu "wana chonga sana",hizi si dharau hizi?
Kwamba Zitto ana chonga sana?
Kwamba Fulikunjombe na wengineo wanachonga sana,
ila makamba ndie anae jua kila kitu.

Yes,wanao jua mwanzo wa ufisadi na hata mwisho wako
kimya tu,wanakula viyoyozi kwa kushiriki kila msiba
kila kona ya dunia,wana tembelea vituo vyote vya
utalii duniani wala hawana taarifa za mfumuko
wa bei Tanzania.

Hawataki kusema kwanini gharama za maisha ziko juu,
kwani wanajua mwanzo wake ni wao kujitafutia utajiri na
mwisho wake ni watanzania kufa kwa njaa kuteseka
na maisha magumu.

Wanajua mwanzo wa kuibiwa mabilioni ya kodi za watanzania
na wanajua mwisho wake ni watu "kuchonga sana" na wao
kukimbia kwenda kuishi nchi walizo jiandalia kwenda.

Kweli kabisa,watanzania tunachonga sana kwa sababu hatujui
kinacho endelea huko kwenye viyoyozi vyenu,lakini nyie mnajua
sana maana mnacho fanya ni ufuska huku mkijua kifo hakipo.

Endeleeni sana,acha watoto wa maskini wachonge sana,
watetezi wa wanyonge wachonge sana,ila nyie "watafuna nchi"
mkiwa mnajua mwanzo na mwisho wa kila kitu.

Hakika,siku yenu inakuja,namuomba Mungu nisife hadi niione.
 
Si bado hajaifaidi nchi.Anasubiri apewa nafasi serikalini.
Nilishawahi kusema kuwa humu tutawafahamu kwa matendo yao na leo hii imejidhihirisha
 
Nlishaandika thrid kama hii juzi nikieleza kuwa makamba si wa kuaminiwa ikaishi dakika mbili ktk jukwaa..huyu ni mchumia tumbo anaemuuza dadake.TULIOHOJI URAFIKI WAKE NA ZITTO TUNAELEKEA KUSHINDA NA zitto akiwa karibu nae tena TUTAMDHARAU.
 
nawashangaa sana watu wanaodhani kwamba viongozi bora watatoka CCM, kwani hawajui kwamba chama cha siasa ni mkusanyiko wa watu wenye dhamira, lengo na nia moja. Kwahiyo dhamira ya Wasira ni sawa na Januari Makamba, sawa na JK, sawa na Nape, na wanaccm wengine. Kwahiyo sera ya utajirisho kwa njia batili ni dhamira ya wanaccm wote.
 
Hilo lilikua kosa kubwa sana,sasa hivi nimegundua
kila anae ongea chochote na yuko ccm bado ni mchumia tumbo
na ana tafuta nafasi ya kupata ulaji
 
Kaka kwa watu makini mnafiki huyu utamtambua tu... kumbuka wakati yuko ikulu alivyokuwa anatetea kila uozo.. alifanya nini alipoupata ubunge wa kulazimisha? Alitaka nafasi ya Ngeleja , hakuupata uwaziri akaanza unafiki.... sasa anaona kama Zitto kascore point, inamuuma , ni mnafiki wa kutupa.. but what do you expect from someone who cheated on a secondary school exam? and mind you he was like roughly 17 years old back then.... mtoto wa mbwa hawezi kugeuka kuwa njiwa!
 
Duh,hizi mpya tena.
 
Niliwahi kuandika thread 17 October 2011 kuhusu Makamba.
( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/183180-january-makamba-mbunge-wa-aina-yake.html )
Nili mpongeza kwa namna nilivo ona anaofanya mambo yake ya kisiasa.

Najuta kumpongeza,nahisi aibu sana,ni kosa ambalo sita lifanya tena
kwa kudhani kuna mtu ndani ya ccm ana "upendo" juu ya Tanzania.

Leo katika facebook page yake kaandika.

Juzi Halima Mdee alisema wazi wazi kwamba makamba ni mnafiki.
Leo nimeamini kwamba ni zaidi ya mnafiki,nahisi ni mchawi
na mroho wa madaraka kupindukia.

Hajawahi kuipenda nchi,wala kuwazia kizuri chochote juu ya Tanzania
ila tumbo lake tu.

Eti watu "wana chonga sana",hizi si dharau hizi?
Kwamba Zitto ana chonga sana?
Kwamba Fulikunjombe na wengineo wanachonga sana,
ila makamba ndie anae jua kila kitu.

Yes,wanao jua mwanzo wa ufisadi na hata mwisho wako
kimya tu,wanakula viyoyozi kwa kushiriki kila msiba
kila kona ya dunia,wana tembelea vituo vyote vya
utalii duniani wala hawana taarifa za mfumuko
wa bei Tanzania.

Hawataki kusema kwanini gharama za maisha ziko juu,
kwani wanajua mwanzo wake ni wao kujitafutia utajiri na
mwisho wake ni watanzania kufa kwa njaa kuteseka
na maisha magumu.

Wanajua mwanzo wa kuibiwa mabilioni ya kodi za watanzania
na wanajua mwisho wake ni watu "kuchonga sana" na wao
kukimbia kwenda kuishi nchi walizo jiandalia kwenda.

Kweli kabisa,watanzania tunachonga sana kwa sababu hatujui
kinacho endelea huko kwenye viyoyozi vyenu,lakini nyie mnajua
sana maana mnacho fanya ni ufuska huku mkijua kifo hakipo.

Endeleeni sana,acha watoto wa maskini wachonge sana,
watetezi wa wanyonge wachonge sana,ila nyie "watafuna nchi"
mkiwa mnajua mwanzo na mwisho wa kila kitu.

Hakika,siku yenu inakuja,namuomba Mungu nisife hadi niione.

Kamanda,toka lini ny.....akazaa nyumbu??
 
Sijawahi ona mtoto wa nyoka akageuka mjusi au kenge ndo huyu januari makamba
 
Sichukii kutofautiana mawazo na mtu katika jambo lolote,mana unaweza kudhan jambo flan ni kwa maslah ya taifa na ukawa na sababu ambazo kwako ni za msingi lakin mwenzako akaona vinginevyo kwasababu zinazomshawish yeye..ila nachukia unapotumia hila kuzuia wazo la mwingine hata kama linamantiki na kumnyima nafas ya kushawish wengine juu ya wazo lake/kudiscourage wengine hata kumuunga mkono, tena unafika mahali unajifanya hamnazo hata kama unaelewa kinacho. Walichofanya Makamba na Madam Anna sielew kina mantiki gan..Madam Anna kama jins alivyomezeshwa, kakurupuka akianza kwa kunukuu kanuni za bunge anazotaja kua zinaendana na katiba kua; wabunge wakitaka kuleta motion ya ktokua na imani na PM ni lazima waandike barua iliosainiwa na wabunge wasiopungua 20% ambao kwa idadi ya bunge letu ni wabunge 70 then wawasilishe kwa speaker 14 days before intended date of vote..after that akakurupuka"zoez linaloendelea la kupigishana sahihi ni batili kwakua mimi sina taarifa". Sasa taarifa ipi unayotakiwa kupewa mama zaid ya barua yenye saini sabini ambazo ndio zinatafutwa kwa hilo zoez unaloita batili?au hizo sahihi zinapatikanaje basi ili zoez la zitto lisiwe batili kwa mujibu wa kanuni zako?kama kanuni inatoa mwongozo wa namna ya kuandika barua yenye sahihi sabini pasipo kuzikusanya bungen ungefafanua. Hata hivyo huyu mama honestly nimefika mahali nashindwa kumlaumu kwan mara nyingi hua namuona kama hana uwezo wa kufikiri kwa haraka. Akipandikizwa kitu mradi ni cha chama chake nae huenda hewan bila kujiongeza. Lakin Makamba anaelewa kabisa alichofanya sio. Na unafiki wake uko hapa;mara ya kwanza hoja ya sain zitto aliitoa bungen na kutoa wito kwa kila mbunge mwenye nia njema na nchi, na anaeona kua ubadhilifu ulioripotiwa na CAG kufanyika katika wizara mbali mbali unamkera na unastahili hatua kuchukuliwa basi atie sain yake kwe hiyo barua kesho yake asubuh ambapo yeye Zitto alieleza atakua akikusanya sahihi hizo nje ya bunge. Hapa ndio mana hata kina Deo walitia sahihi .
Sasa yeye (Makamba) anapokuja kulalama eti mara nyingi tumekua tukiimba kua tunataka bunge la umoja na huku akijifanya kama hajui hilo zoez la kutia saini linaendaje,nakuhoji kama Madam ana taarifa ya zoez linaloendalea,tena anenda mbali na kudai kua anasikia kwe vyombo vya habari kuhusu hilo zoez!!!!???
Huu ndio unafiki kwan maombi ya saini yalitolewa bungeni na utaratibu uliwekwa wazi. Isitoshe saini zenyewe zilikusanyiwa bungeni na si kwe ofice za CDM.
Ye angekua muwaz tu na msimamo wake kua walichofanya mawazir wa ccm haoni kama kinawafanya kustahili kuwajibishwa au labla anaona kuwawajibisha kwa kupitia kumpigia vote of no comfidence PM ni excessive measures na haina maslah kwa taifa mi ningemuelewa kwakua huku ndio kutofautiana mtazamo kuhusu jambo fulani. Au angekaa tu kimya kwan kuna mtu angemuuliza?
Kama kweli maana nyingine ya Parliament ni kundi la mabundi basi hiyo ni tafsir sahihi na waliotia sahihi ni wachache wenye bahat mbaya waliolazimika kuchanganyika na mabundi katika kutetea nchi yao.
Ukitofautiana na mtazamo huu kwa dhati sikulaumu kwan n haki yako. Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom