Remmy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 4,701
- 1,799
Kwa hiyo akizaa ndio ataoga maji ya moto?
According to maelezo yake.
Kwa hiyo akizaa ndio ataoga maji ya moto?
Mi mwanaume wewe, yaani msela wangu umenisahau?
Teh mbona huu utani wa ngumi aisee
Anatamani awe mzazi ili na yeye aoge maji moto , anywe supu nk....lol
Na wewe Young_Master hujaelewa nini? Anatamani ili awe anaoga maji moto lol....ila ndio hivyo huo uanamme unamzuia!
Yaaaani maji ya moto yanataka kumfanya atamani kuzaaaa!!!!!
Si atumie kuni tu? Kwani tatizo liko wapi?
Anatamani awe mzazi ili na yeye aoge maji moto , anywe supu nk....lol
Sasa si inabidi aolewe kwanza? Manake hapo anakula-kulala bure kwa mwanaume mwenzie. Nae atafute wake, akizalishwa apewe maji ya moto ya kuoga na supu!
alamsiki jamani.....
Labda chakula ya watu daaaaaah!!!!!
Na wewe Young_Master hujaelewa nini? Anatamani ili awe anaoga maji moto lol....ila ndio hivyo huo uanamme unamzuia!
Wewe mphamvu hata mkaa unashindwa?
Mwambie shemejio akichemsha maji akupepo Na wewe.
Mkaa gunia linakimbilia elfu 60, kidume mzima kulishwa na mwanaume mwenzio tu noma, bado nijidekeze na maji tena? Jana aliniachia kwenye ndoo, sasa ndo nimeona utamu wake.