Natamani kuzaa sasa...

Wewe mphamvu hata mkaa unashindwa?
Mwambie shemejio akichemsha maji akupepo Na wewe.
 
Sasa si inabidi aolewe kwanza? Manake hapo anakula-kulala bure kwa mwanaume mwenzie. Nae atafute wake, akizalishwa apewe maji ya moto ya kuoga na supu!
Anatamani awe mzazi ili na yeye aoge maji moto , anywe supu nk....lol
 
Sasa si inabidi aolewe kwanza? Manake hapo anakula-kulala bure kwa mwanaume mwenzie. Nae atafute wake, akizalishwa apewe maji ya moto ya kuoga na supu!

Hahahahahahaha lol.....ngoja aje labda ataufuata huu ushauri wako tehe tehe!
 
Hakyanani! kama haya wanayoambiana watu humu ingekuwa ana kwa ana, wengi wangeshatoana ngeu.
Hivi pale mwanamme anaposema, "Nimezaa na fulani" au "Mzazi mwenzangu" haitoshi kuaminisha kuwa mwanamme naye anazaa? Sasa kwa nini kumuandama Mphamvu na matusi ya rejareja?
 
Last edited by a moderator:
Labda chakula ya watu daaaaaah!!!!!

Lets assume kuwa unayohisi ni kweli, hakuna uhusiano kati ya kuwa chakla na kuzaa, na homos wengi hufanya wanayofanya kwa tamaa za mwili tu, na usirudie tena kufananisha mashoga na wanawake, huko ni kuwakosea adabu mama zetu.
 
Na wewe Young_Master hujaelewa nini? Anatamani ili awe anaoga maji moto lol....ila ndio hivyo huo uanamme unamzuia!

Thanks kwa kunitetea bishosti, huyu jamaa analeta kichwa ngumu lakini ameelewa.
Nimefurahi kuona umefahamu kuwa kinachonizuia ni UANAUME!
 
Last edited by a moderator:
Wewe mphamvu hata mkaa unashindwa?
Mwambie shemejio akichemsha maji akupepo Na wewe.

Mkaa gunia linakimbilia elfu 60, kidume mzima kulishwa na mwanaume mwenzio tu noma, bado nijidekeze na maji tena? Jana aliniachia kwenye ndoo, sasa ndo nimeona utamu wake.
 
Mkaa gunia linakimbilia elfu 60, kidume mzima kulishwa na mwanaume mwenzio tu noma, bado nijidekeze na maji tena? Jana aliniachia kwenye ndoo, sasa ndo nimeona utamu wake.

Hahahaha rudi kwa wazazi Mphamvu !
 
Last edited by a moderator:
Mkaa gunia linakimbilia elfu 60, kidume mzima kulishwa na mwanaume mwenzio tu noma, bado nijidekeze na maji tena? Jana aliniachia kwenye ndoo, sasa ndo nimeona utamu wake.

Sio lazima ununue gunia zima. Kopo laweza kuwa haifiki 1000. Punguza pesa ya mtandaoni, upate maji moto.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom