Mama yangu mzazi aliwahi kuniambia bora nife tu apumzike

P Didy Wa Tanzania

JF-Expert Member
May 6, 2022
2,376
3,891
Based on a true story.

CHAPTER 1


Zamani kidogo kipindi iko nipo A - level form 5 naelekea form six ile likizo kubwa nilienda kwa Mama likizo mkoa X.

Mama anaishi mkoa X ila mimi naishi na dada Dar es salaam. hivyo mara nyingi likizo naendaga Dar es salaam.

Huko nilikaa kwa amani tu ila balaa lilianza njiani kwenye gari, wakati natoka mkoa X nakumbuka nilikuwa kama nina laki 5 kamili mfukoni ila mpaka nafika Dar es salaam nusu na robo ya pesa ya ada nilikuwa nishauvuruga vibaya sana.

Nimetoka zangu nyumbani nikapanda Noah mpaka stand X ya mkoa fulani . Nimefika stand kubwa nikadandia basi kubwa kali la ABC. Nikapata seat na kitoto kidogo kama miaka 16 hivi cheupeeeee, kifua kimejaa vizuri, miguu, vitako yaani baadae nikajua ni kitoto cha form 2.

Nimekaa upande wa dirishani gari ni two by two. Huyo mtoto kavaa t-shirt, sket na ana kitenge tu cha kujifunika. Hana hata bag dogo😳. Anavutia sana ukimuangalia anavyofanana alikuwa na kasura kama huyu demu anaitwa Tunda. Kwa mbaliiiii wamefanana just imagine tu, nikawa nikimcheki huyo mtoto namuona kama ana wasiwasi sana yaani sana hajiamini kabisa.

Kutoka hapo Mkoa x stand tulitoka kama saa12 jioni hivi kigiza kinapishana na mwanga. Mimi kama kawaida nimetulia natamani nianzishe maongezi ila mdomo mzito kinoma, ila fikra zangu bhana hazikunidanganya yule mtoto alikuwa na wasiwasi akahama seat kaenda nyingine sababu gari lilikuwa halija jaa😳. Nikaona nimefail,muda kidogo karudi.

Nikasema hapa nikizidi kuwa buyu huyu mtoto atanihama halafu sest hii atakuja kukaa mpuuzi nikaanza story

Kwanza nikanunua machungwa nikampa mtoto hakuvunga. Kala haraka haraka chungwa limeisha, nikanunua karanga za kuchemsha mtoto katembea nazo nikaona kabisa huyu ana njaa. Nikasema alahamdulillah 🙏, mtoto kafunguka kaka naomba uniazime simu yako kuna mtu nataka kuongea nae.

Mtoto ana lafudhi ya kilugha kabisa yaani sauti fulani hivi ya madeko, kwa sasa ni kama wema sepetu anavyo ongea akiwa analalamika, umewahi msikia wema sepetu lakini?.

Hapo giza lilisha ingia kabisa ni usiku. Mtoto kaniomba akae dirishani, Mimi sina hiyana pale kwenye kupishana yeye anasogea huku mimi kule matako yakanipapasa😳. Mzeee, tako lainiiiiiiii duh. Akawa amekaa dirishani tayari.

Baada ya kupiga simu, hakufanikiwa mtu anayempigia simu yake iko busy muda wote yaani alifanya kumpigia kama mara kumi jamaa simu yake inatumika, mtoto anazidi kupaniki tu. Mimi namchek tu nikagundua huyu mtoto anahitaji msaada. basi nikamwambia tulia usimpigie tena relax.

Nikawa naleta leta story. Kila baada ya hatua chache ana niuliza tumefika wapi?

Hapa ni wapi ?

Kufika Dar es salaam bado sana?

Maswali kibao yakanipa picha kabisa huyu mtoto ni mgeni na hajui anapoenda yaani hajawahi kufika Dar es salaam. Baadae jamaa yake akapiga, mtoto kajitambulisha kwa jamaa.

Namsikia kabisa anamwambia mimi Naa. Ndio niko kwenye gari nakuja, hapa nimeazima simu kwa mtu. Nishukie wapi, jamaa kamwambia shukia mbezi mwisho. Maongezi yao yakanipa wasiwasi, nilipata picha like yule demu kama ametoroka kwao hivi na vitu vya namna hiyo.

Katika story nikamuuliza hujawahi kufika Dar es salaam akaniambia huwa nakuja sana tu. ila nikimchek kwenye Safari hamna kitu kabisa. Nikamuuliza unaenda Dar es salaam kufanya nini? akaniambia "baba yangu anaishi dar es salaam, mama mkoa x . Walitengana so Mimi naishi na mama mkoa x.

Hapa naenda kwa baba kuchukua ada ya shule. Shule nadaiwa so nimerudishwa home. Mama kaniambia nifuate ada kwa baba." Shule gani unasoma akanitajia shule moja hivi ya ma sister wa kanisa na hapo ndio akaniambia anasoma form two. Nikamuuliza huyo unayewasiliana nae ndio baba yako? Akasema hapana akasema huyo anayewasiliana nae ni kaka yake. Mtoto wa baba yake kwa mama mwingine anayeishi nae Dar es salaam. Mara zote anapokuja Dar es salaam huyo kaka yake ndio huwa anakuja kumpokea!

Hapo mara zote wanapigiana simu nawasikiliza na jamaa anaonekana ana wenge kinoma noma, nikawa na connect dots hapo naona huyu mtoto ananipiga kamba nyingi sana.

Nikamuuliza baba yake anakaa Dar es salaam sehemu gani akasema hapajui jina😳 duh. Basi bills zote zikawa juu yangu balance yangu ya safari ilikuwa buku 10 tu ila kwa vile tupo wawili nikajikuta natumia elfu 20 maji ,soda na vyakula vyingine vingine.

Tukafika sehemu fulani hivi gari ilisimama muda mrefu kidogo, watu wakawa wanashuka wanachimba dawa, palikuwa na kimgahawa kikubwa cha nyasi wanauza misosi nyama kibao.

Nikamwambia mtoto tushuke anyooshe hata miguu, akagoma kabisa. Mgomo aliokuwa anatoa kama vile hataki aonekane. Mimi nikamwabia "nashuka chini" akasema poa nikamuacha na simu anachati na jamaa yake.

Niliporudi Nina kimfuko cha chips na mishkaki na passion ya baridiiii. Nikamsogezea mtoto, kapokea
kaikunja vizuri sana ile chips yai kapiga na soda yote baada ule msosi na mastory mengine kibao. Yule mtoto bana akaanza kama kusinzia hivi dizaini mikato ya kunilalia lalia hivi.

IMG-20230508-WA0005.jpg

Hii picha ya huyu mwana alivyomlalia huyo manzi ndio imenikumbusha huo msala 😂😂😂. Kumbuka sisi hapo ni safari ya usiku gari la ABC.

Gari lina air condition ya hatari inapiga baridiii. Kale katoto kakaanza kunilalila lalia nini. Mimi nika kavuta kalale vizuri, nikampa Uhuru kabisa. Aikuchelewa nikaanza kumpapasa papasa kichwani na mgongoni. Nadhani mipapaso yangu ilichangia kuleta usingizi mzito......maeneo ya kati ya mlandizi na Kibaha hivi mtoto kashtuka. Kaniuliza hapa wapi kachukua simu amchek mshikaji wake yeye anasema kaka yake. Mara jamaa hapatikani 😳. Piga simu piga simu piga simu haipatikani mtoto ka panik sana. Nikamwambia, "tulia" any panik haita solve tatizo.

Nikamwambia usipanik as long as uko na mimi hutapata shida yeyote ile, basi mtoto katulia kidogo. Tulipofika kibaha jamaa akapatikana akapiga simu akasema simu yake ilikuwa imezima. Mtoto kafurahi kinoma. Kama mwanaume nilikuwa nimefurahi sana jamaa hapatikani kwenye simu

So alipopatikana haikuwa furaha kwangu. Na tupo kibaha tayari kwa hiyo mbezi mwisho hiyo hapo tayari. Ni hapo ndio mawazo ya kimafia ya kaanza kinijia kichwani, labda nikujulishe tu na mimi hapo nilikuwa ni mwanafunzi wa form 5 halafu pia nilikuwa kipindi iko nilikuwa maarufu sana shule kwa misala.

Nakumbuka kwenye ile safari nilikuwa nimempewa na bimkubwa pesa ya ada kama laki 4 na nusu kwa laki 5 ya balance kwenye safari. Hitimisho la mawazo ya kimafia ni kuizima ile line yangu aliyokuwa anawasiliana nayo yule mtoto ili jamaa yake asitusumbue.

Si unajua simu ina line mbili, unaweza zima line moja ambayo yule jamaa alikuwa ana ile namba tayari. Halafu pale kwenye last call nikacopy namba ya yule jamaa nikaandika upya nikaongeza namba moja zile calls zingine nikafuta. So ikabaki call moja

ile call moja imeongezewa digits. +2556235028xxx yaani hapo zimezidi. Nilifanya hivyo incase yule mtoto akimpigia jamaa yake asimpate na yule jamaa asitupate pia. Kiruvya then Mbezi mtoto anashangaa tu. Gari likashusha watu likaamsha mara stop over. Mtoto akachukua simu ampigie

Anapiga anaambiwa mambo asiyoyaelewa. Nikamwabia utampigia tukishuka usiwe na wasiwasi

ITAENDELEAAAA...

Gusa hapa kupata muendelezo 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Post in thread 'Mama yangu mzazi aliwahi kuniambia bora nife tu apumzike' Mama yangu mzazi aliwahi kuniambia bora nife tu apumzike
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom