Nataka kuwa Vegetarian. Wenye uzoefu na hii kitu naombeni ushauri na maoni

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,224
12,729
Nimepanga kuwa vegetarian kutokana na sababu za kiafya na nataka kuona kama nina nidhamu ya kuweza kuwa vegetarian. Naombeni maoni, elimu, ushauri na uzoefu wenu kwenye eneo hili maana sijui chochote kulihusu. Vyakula mbadala, misosi ya kivegan, kanuni za uvegan nk nk.

Natanguliza shukrani.
 
Mazingirq ndiyo yanachochea zaidi kuwa vegetarian ukiwa mazingira ambayo yana kuoffer kile unachotaka kukibadilisha basi ni rahis, mfno n ngumu kuwa vegetarain ukiwa arusha ni ngumu kwa sababu ni ghali kupata unachostahili kula
 
Nimepanga kuwa vegetarian kutokana na sababu za kiafya na nataka kuona kama nina nidhamu ya kuweza kuwa vegetarian. Naombeni maoni, elimu, ushauri na uzoefu wenu kwenye eneo hili maana sijui chochote kulihusu. Vyakula mbadala, misosi ya kivegan, kanuni za uvegan nk nk. Natanguliza shukrani.
na nyama nyeupe bado zinakuathiri mkuu?
 
Mazingirq ndiyo yanachochea zaidi kuwa vegetarian ukiwa mazingira ambayo yana kuoffer kile unachotaka kukibadilisha basi ni rahis, mfno n ngumu kuwa vegetarain ukiwa arusha ni ngumu kwa sababu ni ghali kupata unachostahili kula
Na mimi naona hilo, unaweza kudhani kuwa vegetarian ni cheap, ila sehemu nyingi ni gharama.
 
Na mimi naona hilo, unaweza kudhani kuwa vegetarian ni cheap, ila sehemu nyingi ni gharama.
Uhalisia ni kwamba vegetarania n gharama sana kuliko unavyofikiri, maana usipopata mlo kamili itakugharimu kiafya pia, (mlo kamili unatokana pia kwenye jamii ya chakula vya mboga mboga) hata ulaji wake ni tofauti sana na ulaji wa kawaida. Lkn faida zake ni kubwa sana kwa afya ya sasa na yabaadaye. Kila la heri
 
Back
Top Bottom