Naombeni ushauri, nataka kununua friji

Chief Kumbyambya

JF-Expert Member
Jun 16, 2022
504
1,491
Nimelikuta hili friji duka fulani na nikiangalia ni kweli nahitaji kafriji fulani hivi kadogo kwajili ya geto si mnajua tena geto la msela lazima liwe la kisasa.

Nimeona nisijepigwa na kitu kizito bora kabla sijanunua nije niulize kwanza kwa wakubwa wenye uzoefu na haya makitu hasa katika nyanja sifuatazo.

Bei yaje wamesema mwisho Tsh 400,000/=. Ni hisense inakula wa unit 113 kwa mwaka je kwa ulaji huo wa umeme wa unit 113 kwa mwaka ni sawa kwa kafriji ka aina hiyo au ni matatizo?

Warranty ni mwaka mmoja. Je, kwa bidhaa hiiya hisense ni sawa warranty mwaka mmoja au naenda kupigwa ndonga nzito?

Na je yanadumu? Hayana matatizo kama yale mengine.

Naombeni ushauri wa uzoefu wenu juu ya hiyo bidhaa wakulungwa. Naamini kuna watu wenye uzoefu na hii bidhaa hapa.


View attachment 2319878
 
mdau tumia water 'dispensa' kwa mwanaume single kinafaa sana coz kinatoa maji ya moto na baridi na kina kispace chini cha 'friza'
IMG_20220814_195755.jpg
 
Back
Top Bottom