Nataka kuingia kwenye siasa, nafikiria CCM ndio njia pekee rahisi ili kufika mbali

hermanthegreat

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
853
2,037
Habari wakuu

Ikiwa kama njia yangu ya kujipenyeza, hatimaye niwe kiongozi mkubwa kama ilivyo ndoto yangu, imenipasa niingie kwenye siasa, sina akili wala moyo wa kichawa,
mzee ni chadema mkubwa, hata mimi ningefata njia zake ila naona hio njia ni ngumu.

Kabla sijajisajili kwa uvccm ili nianze dominance huko nipeni muongozo.
natanguliza shukrani
 
Kama unandoto ya kuwa mtu fulani lakini njia unayoataka kuitumia kufikia ndoto yako ni mpaka kulamba viatu vya wengine basi ujue hiyo ndoto yako ni ndoto nyevu.

Amka usingizini. Huko watakutumia kisha mwisho wasiku wakishajua nia yako wanaku terminate unaokotwa beach kwenye kiroba.
 
tafuta mganga mzuri kwanza akuweke sawa..

cha pili acha akili nyumbani, hii kazi haihitaji Formality, utapotezwa

cha tatu, zingatia cha kwanza na cha pili
 
Habari wakuu

Ikiwa kama njia yangu ya kujipenyeza, hatimaye niwe kiongozi mkubwa kama ilivyo ndoto yangu, imenipasa niingie kwenye siasa, sina akili wala moyo wa kichawa,
mzee ni chadema mkubwa, hata mimi ningefata njia zake ila naona hio njia ni ngumu.

Kabla sijajisajili kwa uvccm ili nianze dominance huko nipeni muongozo.
natanguliza shukrani
Unaingia kwenye Siasa kutafuta maisha au huko umevutiwa na itikadi za siasa za CCM?
 
Kabla hujaingia kwenye siasa nakushauri nenda nchini Ghana Kuna mtu mmoja anaitwa KWAKU BONSAM atakusaidia sana na utafika mbali

Tofauti na hapo ukiingia kwenye siasa kichwa kichwa jiandae kufariki muda na wakati wowote, au kuwa fukara wa kutupwa
 
Kwa bahati mbaya Tz hakua chama chochote cha siasa ambacho ni kizuri.Aidha, wagombea binafsi au wagombea huru pia hawaruhusiwi. Kwa kuwa umesema "unataka kufika mbali" basi endelea na uamuzi wako uliiochukua. Lakini kumbuka, ktk bara la Afrika kuna Siasa chafu sana kupita kiasi, uchafu uliopo kwenye siasa za Afrika, hata Shetani anaonekana kuwa ni msafi na "Malaika."
 
Habari wakuu

Ikiwa kama njia yangu ya kujipenyeza, hatimaye niwe kiongozi mkubwa kama ilivyo ndoto yangu, imenipasa niingie kwenye siasa, sina akili wala moyo wa kichawa,
mzee ni chadema mkubwa, hata mimi ningefata njia zake ila naona hio njia ni ngumu.

Kabla sijajisajili kwa uvccm ili nianze dominance huko nipeni muongozo.
natanguliza shukrani
CCM ni pazuri kwa ma-popoma ila kama wewe ni mtu sikushauri ujiunge na chama hicho.
 
Habari wakuu

Ikiwa kama njia yangu ya kujipenyeza, hatimaye niwe kiongozi mkubwa kama ilivyo ndoto yangu, imenipasa niingie kwenye siasa, sina akili wala moyo wa kichawa,
mzee ni chadema mkubwa, hata mimi ningefata njia zake ila naona hio njia ni ngumu.

Kabla sijajisajili kwa uvccm ili nianze dominance huko nipeni muongozo.
natanguliza shukrani
Chadema wanasema wanasajiri wanachama hadi computer zinachemsha! Ongea na erythrocyte huko ndo kuna wanachama mil 20 utatoboa dakika tuu.
 
Kabla hujaingia kwenye siasa nakushauri nenda nchini Ghana Kuna mtu mmoja anaitwa KWAKU BONSAM atakusaidia sana na utafika mbali

Tofauti na hapo ukiingia kwenye siasa kichwa kichwa jiandae kufariki muda na wakati wowote, au kuwa fukara wa kutupwa
Ni nani huyo by the way na kwa faida ya wote..."KWAKU BONSAM"
 
Habari wakuu

Ikiwa kama njia yangu ya kujipenyeza, hatimaye niwe kiongozi mkubwa kama ilivyo ndoto yangu, imenipasa niingie kwenye siasa, sina akili wala moyo wa kichawa,
mzee ni chadema mkubwa, hata mimi ningefata njia zake ila naona hio njia ni ngumu.

Kabla sijajisajili kwa uvccm ili nianze dominance huko nipeni muongozo.
natanguliza shukrani
Hata CDM ingia tu mkuu. Lakini huko usijalibu kugombea mwenyekiti wa CDM taifa. Kwani utafutwa uanachama, utaitwa msaliti au utafwaliki. Hicho ni cheo cha mtu maalum
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom