Hahahahaaa umenikumbusha series iliyoisha hivi karibuniimenikumbusha kuna jamaa alipanga pale sinza akamueka binti mmoja kunyumba ikafika wakati mwanamke anarudi usiku wamanane anaanza wiki mbili anarudi ati alikuwa moro ..hee imemmwendea miezi kadhaa wakamshauri sio mke akasema ni bora niamini Mungu yupo kuliko kutoamini mwisho wa sisku nikaumia..nikamwambia kama umefikia kumfananisha huyo shetan wako na Mungu wetu ikikaa miezi mitatu mintaomba banlife ya jf yuko humu
leo ni single anatafuta wa ukweli...so ukionyeshwa kama ashadili fungua kichwa kama ulikuwa unatumia mawazo kwa kichwa cha juu basi changanya na cha masaburi usije laumu
<br />Mchakato na ukokotoaji ndo inaanza now na hapahapa
<br /><font color="#ff0000"><span style="font-family: comic sans ms">Natangaza rasmi kuwa according to my plan nitafunga ndoa tarehe 25/12/2012. Now the hunt for my wife to be start now officially</span></font>
Sio niliona kesi yako hapa last week?kama unamtaka kutoka jf kwa wazawa wa jf stori wakupe.tuombe ushauri.mbona wapo tu..wapo.PAW mshirikishe.mi mwenye kudo kabinti nilitaka ntangaze ndoa humuhumu kakantolea nje.kanakaa mkoa.sasa hivi ningekua baba fulani.lakini bado nammendea kwa mbali coz nampenda sana.mia
kwani hujaoa? Maana kile chama cha mabachelor jf huwa sikuoniwe mwanamke kwa kuguna mh hujambo