Nataka kufunga ndoa mwakani mwezi wa 12 tarehe 25

imenikumbusha kuna jamaa alipanga pale sinza akamueka binti mmoja kunyumba ikafika wakati mwanamke anarudi usiku wamanane anaanza wiki mbili anarudi ati alikuwa moro ..hee imemmwendea miezi kadhaa wakamshauri sio mke akasema ni bora niamini Mungu yupo kuliko kutoamini mwisho wa sisku nikaumia..nikamwambia kama umefikia kumfananisha huyo shetan wako na Mungu wetu ikikaa miezi mitatu mintaomba banlife ya jf yuko humu
leo ni single anatafuta wa ukweli...so ukionyeshwa kama ashadili fungua kichwa kama ulikuwa unatumia mawazo kwa kichwa cha juu basi changanya na cha masaburi usije laumu
Hahahahaaa umenikumbusha series iliyoisha hivi karibuni
 
Mie namuonea huruma huyo muolewji, keshapangiwa na tarehe haijalishi yuko kwenye red carpet au vipi
 
kama unamtaka kutoka jf kwa wazawa wa jf stori wakupe.tuombe ushauri.mbona wapo tu..wapo.PAW mshirikishe.mi mwenye kudo kabinti nilitaka ntangaze ndoa humuhumu kakantolea nje.kanakaa mkoa.sasa hivi ningekua baba fulani.lakini bado nammendea kwa mbali coz nampenda sana.mia
 
Sio niliona kesi yako hapa last week?
 
Mh!Hujui kuwa 21/12/2012 ni mwisho wa dunia?Teh,teh,teh,i'm jokin'!Anyway wish u all the best!
 
Back
Top Bottom