Hatimae Ukraine imesherehekea Christmas tarehe 25 December kwa mara ya kwanza katika historia

Adolph Jr

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
5,560
8,638
Merry Christmas wakristo wote.

Ni furaha iliyoje kwa wa-ukraine kusherekea sikukuu ya krismas tofauti na utaratibu wa awali waliokuwa wanatumia kutoka kanisa la Orthodox huko Russia yaani tarehe 07/01 kila mwaka.

Many Ukrainian Orthodox Christians are celebrating Christmas on 25 December for the first time this year.
Ukraine has traditionally used the Julian calendar, also used by Russia, where Christmas falls on 7 January.
In a further shift from Russia, it is now marking Christmas according to the Western – or Gregorian – calendar, which it uses in everyday life.
Ukrainian President Volodymyr Zelensky changed the law in July, saying it allowed Ukrainians to “abandon the Russian heritage” of celebrating Christmas in January.
In a Christmas message issued on Sunday evening, Mr Zelensky said all Ukrainians were now together.
“We all celebrate Christmas together. On the same date, as one big family, as one nation, as one united country.”

In the capital Kyiv, married couple Lesia Shestakova, a Catholic, and Oleksandr Shestakov, who is Orthodox, are celebrating Christmas together.

Source: Daily news
 
Screenshot_20231225-115121.png
 
Mkiambiwa dini yenu ni ya mchongo mnaanza kutukana kama vichaa.
Sasa hiyo ni dini gani ambayo utaratibu wake wa ibada unabadilika kutokana na matakwa ya watu fulani tena wanasiasa?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
We tuonyeshe wapi katika Qurani mmeambiwa mshehereke sikukuu ya kuzaliwa Mtume Muhammadi Maulidi ?

Si ni maamuzi ya Watu Kama hao wa Kristmas.
Au ndio haoni mgongo wake?
 
Kwa mujibu wa waothodox wanaamini kuwa yesu hakuzaliwa leo sasa iweje tena waanze kuamini hali ya kuwa kwa mujibu wa imani ya dhehebu lao ni haramu kisa serikali imesema?

Maamuzi ya Rais wa Ukraine kujitenga na kanisa la Othodox la Urusi ni za kusiasa ili kuikomoa na kupunguza ushawishi wa Urusi ndani ya nchi hiyo tu sio za kiimani.

Na mbaya zaidi huyo Zerensik mwenyewe aliye amuru hilo sio muothodox wala mkirsito bali ni myahudi na anaamini kwenye dini ya kiyahudi ambayo na yenyewe haiamini uwepo wa hiyo krisimas.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sielewagi kabisa hao Wafia dini wana matatizo gani wawe na ulazima wa kujibu hoja kwa matusi.

Huwa nasoma tu jumbe zao wala sitakagi kujibizana nao kabisa maana Wahenga husema "Kichaa akikukuta unaoga akachukua nguo zako na kukimbia nazo mwache tu la sivyo ukimkimbiza ungali uchi ni wewe ndiwe utayeonekana Kichaa".

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Zeleskyy kabadili chrismas pekeake au ndio kaanza kutumia kalenda ya gregorian na kuachana julian calender?
Hata Mobotu Seseseko alibadili mambo mengi mpaka kupiga marufuku majina ya kimagharibi. Jua ni lile lile. Zele kabadili ili kumkomoa Russia. Soon ataondolewa na maisha yataendelea.
 
Mkiambiwa dini yenu ni ya mchongo mnaanza kutukana kama vichaa.
Sasa hiyo ni dini gani ambayo utaratibu wake wa ibada unabadilika kutokana na matakwa ya watu fulani tena wanasiasa?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
mkuu mbona umeingia vitani na kanzu utaweza kukimbia kweli??

sijui hata kama unajua kwamba tareh 25 sio siku halisi aliyozaliwa Yesu,hoja ni maadhimisho.

Quran yako haijataja sherehe ya maulid vipi hili hulioni??
 
Sielewagi kabisa hao Wafia dini wana matatizo gani wawe na ulazima wa kujibu hoja kwa matusi.

Huwa nasoma tu jumbe zao wala sitakagi kujibizana nao kabisa maana Wahenga husema "Kichaa akikukuta unaoga akachukua nguo zako na kukimbia nazo mwache tu la sivyo ukimkimbiza ungali uchi ni wewe ndiwe utayeonekana Kichaa".

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Maana yake kichwani hakuna kitu ni marope, dini yenyewe haiwasaidii ushahidi ni hayo matusi
 
mkuu mbona umeingia vitani na kanzu utaweza kukimbia kweli??

sijui hata kama unajua kwamba tareh 25 sio siku halisi aliyozaliwa Yesu,hoja ni maadhimisho.

Quran yako haijataja sherehe ya maulid vipi hili hulioni??
Itatukanwa bure, dini yao ni matusi sasa huyu mungu wa wapi wanamwabudu
 
Mkiambiwa dini yenu ni ya mchongo mnaanza kutukana kama vichaa.
Sasa hiyo ni dini gani ambayo utaratibu wake wa ibada unabadilika kutokana na matakwa ya watu fulani tena wanasiasa?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwenya Ukristo hiyo sikukuu sio ibada, kula sio ibada, hata kwenda haja sio ibada unatangulia mguu wowote tu au hata ukiingia kinyumenyume ni sawa.
 
Mkiambiwa dini yenu ni ya mchongo mnaanza kutukana kama vichaa.
Sasa hiyo ni dini gani ambayo utaratibu wake wa ibada unabadilika kutokana na matakwa ya watu fulani tena wanasiasa?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Quran 46: 09 (Muhamad mwenyewe anasema)
Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, Wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi

Mabikra 72.
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-

Quran 37:48-49:

And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.

“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
 
Kwa mujibu wa waothodox wanaamini kuwa yesu hakuzaliwa leo sasa iweje tena waanze kuamini hali ya kuwa kwa mujibu wa imani ya dhehebu lao ni haramu kisa serikali imesema?

Maamuzi ya Rais wa Ukraine kujitenga na kanisa la Othodox la Urusi ni za kusiasa ili kuikomoa na kupunguza ushawishi wa Urusi ndani ya nchi hiyo tu sio za kiimani.

Na mbaya zaidi huyo Zerensik mwenyewe aliye amuru hilo sio muothodox wala mkirsito bali ni myahudi na anaamini kwenye dini ya kiyahudi ambayo na yenyewe haiamini uwepo wa hiyo krisimas.

Ni sawa na leo Samia ambaye ni muislam atangaze kuwa
wasabato wa tz wamejitenga na wasabato wa mataifa mengine hivyo kuanzia leo wataruhusiwa kula nguruwe na kunywa pombe kama wakatoriki.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wivu tu kwa sababu Zelenskyy ameamua kufuata kalenda ya dunia nzima ya Gregorian na hakufuata kalenda yenu baada ya kuachana na ile ya Julian ya kina Putin.
 
Mkiambiwa dini yenu ni ya mchongo mnaanza kutukana kama vichaa.
Sasa hiyo ni dini gani ambayo utaratibu wake wa ibada unabadilika kutokana na matakwa ya watu fulani tena wanasiasa?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mambo yote huamuliwa na wanasiasa.Mbona Kuna dini mpaka mtu mmoja aone mwezi ndo awaambie ni sikukuu?
 
Sielewagi kabisa hao Wafia dini wana matatizo gani wawe na ulazima wa kujibu hoja kwa matusi.

Huwa nasoma tu jumbe zao wala sitakagi kujibizana nao kabisa maana Wahenga husema "Kichaa akikukuta unaoga akachukua nguo zako na kukimbia nazo mwache tu la sivyo ukimkimbiza ungali uchi ni wewe ndiwe utayeonekana Kichaa".

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hii ni kukosa religion tolerance.

Yaani mtu anaendeshwa na hisia sana kuliko kutumia akili.

Kuna baadhi ya wakristo na waislamu wanajibu hoja kwa staha.
 
Mkiambiwa dini yenu ni ya mchongo mnaanza kutukana kama vichaa.
Sasa hiyo ni dini gani ambayo utaratibu wake wa ibada unabadilika kutokana na matakwa ya watu fulani tena wanasiasa?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Krismas siyo ibada.Krismas ni maadhimisho.Ibada katika ukristo ni kila siku kila saa.Alafu fahamu tofauti ya Julian Calender na Gregorian Calender.Moja inafidia siku zilizopoyea kutokana na miscalculation ya mzunguko wa dunia kuizunguka jua.Nchi zote ziliopt Gregorian cakender kasoro chache ikiwemo Urusi.Hili linahitaji taaluma ikae vizuri kidogo
 
Back
Top Bottom