Benjamin Netanyahu asaini Mpango wa kuuvamia mji wa Rafah Kijeshi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,995
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesaini Mpango wa Jeshi la IDF kuuvamia mji wa Rafah

Ni Hatari sana
---
etanyahu "approved the plans for action in Rafah," his office said in a statement, without giving details or a timeline.

The statement said the military was "prepared for the operational side and for the evacuation of the population".

Rafah is the last major population centre yet to be subjected to a ground assault during Israel's war against Hamas in Gaza, which was triggered by the militants' unprecedented attack on southern Israel on October 7.

The attack resulted in the deaths of about 1,160 people, mostly civilians, according to an AFP tally of Israeli figures.

Hamas took about 250 Israeli and foreign hostages on October 7, and Israel believes about 130 of those remain in Gaza including 32 presumed dead.

Israel's retaliatory campaign against Hamas has killed at least 31,490 people, mostly women and children, according to the health ministry in the Hamas-run territory.

US President Joe Biden, who has supported Israel during the war, has said an Israeli invasion of Rafah would be a "red line" without credible civilian protection plans in place.

US Secretary of State Antony Blinken said during a visit to Vienna on Friday that Washington had not seen any plans for a Rafah operation, but reiterated that it wants a "clear and implementable plan" to ensure civilians are "out of harm's way".

The office of Palestinian president Mahmud Abbas "expressed deep concern over an imminent Israeli military offensive in Rafah, which could result in a new massacre and further displacement of the Palestinian people in Gaza," the official Wafa news agency reported.

"The presidency underscored the urgency for swift intervention by both the US administration and the international community to avert this military attack, which could add to the already immense suffering of the Palestinian people," Wafa said.

The German foreign ministry said "a large-scale offensive in Rafah cannot be justified".

"Over a million people have sought refuge there and have nowhere to go," it said on X. "We need a humanitarian ceasefire now, so that the dying ends and the hostages are finally released."

AFP
 
Chakubanga ngoja nilambe asali
JamiiForums-1234616416.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ni hatari, Vita anayopigana Israel USA haiwezi. Kwenye ground operation USA alionya kuwa kuingia kwenye tunnels itakuwa kaburi kwa majeshi ya Israel, lakini cha ajabu ameingia huko ila casuality imekuwa ni ya kawaida, kwa kweli jeshi la Israel ni jeshi bora sana, USA anawazedi idadi ya silaha na ndege lakini kwa akili Israel anazidi USA.
 
Aliyekuambia casuality ni ya kawaida ni nani ..kuna vita atakavyoweza kupiga huyo nyangau ya kuanza kuwakatia watu umeme maji na chakula na bado akashindwa jufanya cha maana na misaaada ya heavy military equipment kutoka kila pande na bondo mambo magumu. Kama hamasi wangeweza kuwa huru na na kupata silaha na chakula tu hali ingekuwaje
 
Mimi naona Israel bado tu wanacheza na hao magaidi inatakiwa wawafyeke kabisa hawawezi kutuulia wananchi wetu kikatili namna ile.

Death to terrorists, Death to jihadists.
Unataka wauwe kama walivyo muua Yesu?.
 
Ni hatari, Vita anayopigana Israel USA haiwezi. Kwenye ground operation USA alionya kuwa kuingia kwenye tunnels itakuwa kaburi kwa majeshi ya Israel, lakini cha ajabu ameingia huko ila casuality imekuwa ni ya kawaida, kwa kweli jeshi la Israel ni jeshi bora sana, USA anawazedi idadi ya silaha na ndege lakini kwa akili Israel anazidi USA.
Yule kiongozi wa Hamas kule Gaza analalamika kuwa Israel wamekata supply ya maji, hali ambayo imepelekea akae mwezi bila kujitawaza kila apigapo kubwa hivyo ameiomba jumuiya ya kimataifa iingilie ili apate haki yake ya kujitawaza.
 
Back
Top Bottom