Nataka kufunga ndoa mwakani mwezi wa 12 tarehe 25

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,090
Natangaza rasmi kuwa according to my plan nitafunga ndoa tarehe 25/12/2012. Now the hunt for my wife to be start now officially
 
Nakuonea huruma the wife utapata... Best of Luck katika mipango yako....
 
Hahahaha kwani unanionea huruma tena tena we mrembo?

Najua kumpata the love of your life yaweza chukua a moment... But with time line kama yako waweza jiingiza pasipo penyewe sababu tu ufikishe mipango...
 
Itabidi uanzishwe utaratibu wa JF members kupeana kipaumbele kwenye ndoa,mie nipo single pia natafuta mrembo toka JF.Ashadii wanisaidiaje!
 
hahahaha kwani unanionea huruma tena tena we mrembo?
kwasababu mle mwema hutoka mungu sio jf
ukisoma moja ya aina saba za kuishi ufanikiwe mojapo kujifunza kuwa msiri ...mkuu nina ushahidi wa watu wanne waliotangaza ndoa zao siku tar fulani wakishia kuwa mabachela na miaka 40=43
sipendi kusema nakulaani bali nakuonya omba hekima huyo ni mkewaako wa milele unless umepanga kuwanae kwa shift
 
itabidi uanzishwe utaratibu wa jf members kupeana kipaumbele kwenye ndoa,mie nipo single pia natafuta mrembo toka jf.ashadii wanisaidiaje!

anamwenzake else untaka inaitwaje ile ya wanaume kicheni pati aano begipati hapo sihuisiki kwenye invoice muelewane wenyewe
 
kwasababu mle mwema hutoka mungu sio jf
ukisoma moja ya aina saba za kuishi ufanikiwe mojapo kujifunza kuwa msiri ...mkuu nina ushahidi wa watu wanne waliotangaza ndoa zao siku tar fulani wakishia kuwa mabachela na miaka 40=43
sipendi kusema nakulaani bali nakuonya omba hekima huyo ni mkewaako wa milele unless umepanga kuwanae kwa shift
Najua kaka but pia ukumbuke kwamba katika maisha lazima uwe na plan hata kama haitatimia basi hayo ni matokeo but you have to work to meet your plan
 
Najua kumpata the love of your life yaweza chukua a moment... But with time line kama yako waweza jiingiza pasipo penyewe sababu tu ufikishe mipango...
Maneno yako mazito sana we binti i see, but ngoja niongeze kwamba sitaingia choo cha kike
 
imenikumbusha kuna jamaa alipanga pale sinza akamueka binti mmoja kunyumba ikafika wakati mwanamke anarudi usiku wamanane anaanza wiki mbili anarudi ati alikuwa moro ..hee imemmwendea miezi kadhaa wakamshauri sio mke akasema ni bora niamini Mungu yupo kuliko kutoamini mwisho wa sisku nikaumia..nikamwambia kama umefikia kumfananisha huyo shetan wako na Mungu wetu ikikaa miezi mitatu mintaomba banlife ya jf yuko humu
leo ni single anatafuta wa ukweli...so ukionyeshwa kama ashadili fungua kichwa kama ulikuwa unatumia mawazo kwa kichwa cha juu basi changanya na cha masaburi usije laumu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom