Natafuta Mwenza !!

mie nimekupenda chentutu na unavyoweka hizo H ndio kabisaa inaelekea lafudhi yako ni maenglish tu,usafiri unao nyumba unayo what else do i want in a man??? kwa kweli HAKUNA!...tupe vigezo vyako,unataka maziwa makubwa wewe je ukoje umepanda hewan?i,mwili wa mazoezi na sura ya kuvutia? unavaa miwani? sema basi ili utuvute zaidi wadada...mie sio mrembo ila naweza kukuaminisha kuwa ni mrembo lol
 
anti wee unaichongea sana. kama hauna time, basi niache hivyo hivyo. wala haun haja ya kuchangia. hacha kuumiza feelings za watu

Hiyo ni lugha gani??? hiyo niliyoweka bluu.

Unachekesha nakuchongea kwa nani injiniaaaa??? Boss Hapa sidhani kama kuna mtu ana feelling na wewe hata mmoja huoni hata haya???

Na sikuachi nilitaka kulala ngoja nikae kabisa na bado
 
DA msamehe asije akaiona JF chungu bure,mwenzio nalifeel liswagga lake....:lol::lol:
 
DA msamehe asije akaiona JF chungu bure,mwenzio nalifeel liswagga lake....:lol::lol:

Poa anataka kudhalilisha wanawake halafu tukimwambia eti tunamchongea peleka mashauzi yako hukooooooooooooo.

Kwa dharau hizo hutapata mke kamwe 33yrs huna mke aibu gani hiyo
 
Poa anataka kudhalilisha wanawake halafu tukimwambia eti tunamchongea peleka mashauzi yako hukooooooooooooo.

Kwa dharau hizo hutapata mke kamwe 33yrs huna mke aibu gani hiyo

I just dont get you. Whats the problem. Mbona unanisakama sana, nimekukosea nini.... sidhalilishi, unataka niseme sitaki matiti makubwa, alafu nipate mwanamke asiye na maziwa alafu nimuache? vipi wewe dada... mbona hivyo?
 
Unalo hilo limekuganda. Nakusakama ha ha ha ha uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Nakusakama eehhh na bado ndo kwaanza nimeanza
 
mhhh...haya nakutakia kila la heri kwenye utafutaji wako! Usisahau kumshirikisha Mungu kwenye utafutaji wako!
 
Wewe umechanganyikiwa kweli,mke unatafutia JF.Mtakuja oa mashetani.
Msinishangae. Nina miaka 33, single, Msomi, Digri ya Engeneering ninayo. Mtanashati sana, usafiri wangu ninao. Kazi pia ninayo. Natafuta mwenza, kipenda Roho mpenzi mwanzo, na mke wa baadae. Lazima hawe na umbo na Sura ya kuvutia, Napenda Hips na Maziwa makubwa. Lazimwa awe msafi. sitaki mwanamke mwenye harufu chafu au mdomo mchafu. Ukiwa mwembamba pia poa lakini maziwa makubwa muhimu. Sitaki mwanamke mwenye Mume, au Boyfriend, lazima awe single na kazi yake ya maana siyo changudoa. Hata kama hauna kazi, lakini hawe na heshima zake.....Mwenyewe utapenda

sina, mke, mtoto wala drama, kwa hiyo usilete drama... ukiwa na mtoto mmoja poa. ila isije ikawa kuna drama nyuma yake. kwa maana nitachomoka yanikinizidi kimo

Simu tubabadilishana baada ya muda wa kuwasiliana. Nipo Dar. muheza1982@hotmail.com
 
Unalo hilo limekuganda. Nakusakama ha ha ha ha uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Nakusakama eehhh na bado ndo kwaanza nimeanza

My Dia cool down bana
Msamehe, muonee huruma.
Nae ni kiumbe kama wengine anastahili huruma hata kama amekosea
Usiendelee dia
Pls I beg you
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom