A life of a "really man" is incomplete without a really "woman" who has merits of being a "wife".
Not every man has a merits of being husband, similarly not every woman has a merits to become a wife.
Mimi natafuta mwanamke ambaye toka ndani ya moyo wake anatamani kuwa na "Mume" na sio mwanaume, maana wanaume wapo wengi tu anaweza pata popote pale na wakati wowote ule.
SIFA ZANGU
-Nipo tayari kupima HIV pamoja,
-Elimu yangu ni kidato Cha nne,
-Mkristo Mkatoliki
-Umri miaka 39
-Kazi: Nimejiajiri
-Urefu wangu 170cm, mweusi wa kawaida
SIFA ZA MWANAMKE
-Awe tayari kupima HIV pamoja
-Awe na hofu ya Mungu, dini yeyote but mind you that I am catholic
-Umri kuanzia miaka 29 - 38
-Akiwa na mtoto/ single mama basi asizidi mtoto mmoja
-Elimu yake: form IV / up to masters
-Kazi: awe employed public or private sector or self employed.
Ukiwa interested nakukaribisha sana, na unaponitumia ujumbe naomba jitahidi kuelezea wajihi (sifa zako) ili niweze kukufahamu vema na kufahamiana pia.
Maisha ya furaha kwa mwanaume ni pamoja na kuwa na mwanamke mzuri mwenye upendo kwa mume wake, vivyo hivyo kwa mwanamke ni kumpata Mwanaume mwenye upendo wa kweli, mwenye vision na anayeweza kusimama kama Mume - Baba na Kiongozi wa familia bora yenye furaha na upendo.
MILANGO IPO WAZI, KARIBUNI SANA 🙏