Natafuta mwenza (mke)

Confundido

Member
Mar 17, 2021
27
112
Habari,

Natafuta mke wa kumpenda na kuishi naye maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani.

Mimi ni mkristo, miaka 35, nafanya biashara (machinga), naishi Dar es Salaam.

Natafuta mwanamke miaka 28 hadi 32 awe mkristo, pia awe mpambanaji ili tushirikiane kwenye maisha.

Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom