Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
Distazo
Sitafuti mwanamke wa kunipa hela maana hata mimi ninazo za kunitosha na familia nitakayokuwa nayo. nina kazi nzuri & biashara ya kuniongezea kipato Natafuta mwanamke mwenye upendo wa kweli na aliyetulia. Kwangu mimi umri wa mwanamke ni kigezo kimojawapo (above 35 years) usinilazimishe nitafute kwa vigezo vyako
Uwe mpole ndugu. Ni vema pia useme umri ukomo kutoka 35!!!! Ila wengi above 35 wana maisha yao fulani hivi, some na mihela na majumba!!! Sasa hapo itakuwaje? Just curious to know your max age bar!!!