Jasuma

Member
Jul 11, 2023
25
16
Naitwa Alex, Elimu yangu ni Degree pia ni mwajiriwa natafuta Mchumba yaani mwanamke wa kuoa.

SIFA
Awe na elimu kuanzia Diploma na kuendelea.
Awe mweupe au maji ya kunde.
Asiye kunywa pombe.
Awe mwenye hofu na Mungu.
Awe hajazaa na Kama amezaa asiwe na zaidi ya mtoto mmoja.
Awe mrefu au mfupi Ni sawa tu.
Awe na miaka kuanzia 18-32.

Kama una sifa hizo naomba uni-PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom