Natafuta Mwanaume wa miaka 53-56 aliyejitunza kiafya

Moyo Mkiwa

New Member
Jun 29, 2023
1
3
Wee mwanaume. Kama:-

1. Una umri kati ya 53 - 56
2. Single/Divorced na upo tayari kuingia kwenye mahusiano ya kudumu.
3. Umejitunza kiafya
4. Watoto wako wamejitegemea.
5. Una shughuli nzuri tu za kujiingizia kipato.
6. Upo radhi ku settle nje ya Tanzania na utajilipia tiketi yako kuja huku kwangu.

Basi nakutafuta.

Mie ni mwanamke
1. Umri ni early 50.
2. Naishi ughaibuni kwangu.
3. Nina mtoto 1 tu.
4. Nina elimu na maisha mazuri.

Tukielewana, ntakualika uje huku, na nitashughulikia makaratasi ili upate Uraia wa huku. Karibu tuishi pamoja, tuzeeshane tuzikane. Tuwasiliane kupitia moyomkiwa@gmail.com. Kila email itajibiwa.
 
Sijui kwa nini umejiita Moyo Mkiwa ,pole sana kwa hilo.

Lakini ni kiasi gani bado mpo na ubifsi hata kama mmefa ikiwa ki elimu na kichumi .

Hakuna kinachoshindikana chini ya jua lakini hili lako kufanikiwa kwake ni kwa kiasi kidogo sana, usiweje tarajio lolote.
 
FB_IMG_16878536824801495.jpg

Nauliza tu usinichukulie vibaya
 
Wee mwanaume. Kama:-

1. Una umri kati ya 53 - 56
2. Single/Divorced na upo tayari kuingia kwenye mahusiano ya kudumu.
3. Umejitunza kiafya
4. Watoto wako wamejitegemea.
5. Una shughuli nzuri tu za kujiingizia kipato.
6. Upo radhi ku settle nje ya Tanzania na utajilipia tiketi yako kuja huku kwangu.

Basi nakutafuta.

Mie ni mwanamke
1. Umri ni early 50.
2. Naishi ughaibuni kwangu.
3. Nina mtoto 1 tu.
4. Nina elimu na maisha mazuri.

Tukielewana, ntakualika uje huku, na nitashughulikia makaratasi ili upate Uraia wa huku. Karibu tuishi pamoja, tuzeeshane tuzikane. Tuwasiliane kupitia moyomkiwa@gmail.com. Kila email itajibiwa.
Ujana wako ulikula na nani? Niambulie kukuzika tu. Kula hela zako.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Kama nawaona wazee wenzangu wanavyochekelea kuwa mrembo wa rika letu kajileta ila tukifika kwenye habari za kwenda ughaibuni tena kwa mwanamke aaaaagh inakuwa kitendawili .

Nitawaambia nini watoto wanaonilea ? Je nafuata nini huko ?

Vipi kama sina hela nikija huko si utaninyanyasa ? Mbona umesema niwe na biashara yangu au kipato eleweka sasa hizi biashara namuachia nani ?

Haya ni maswali wazee wenzangu wanajiuliza ila mwisho wanasema bora kubaki na hutu tubinti tudogo kuliko vizee vyenzetu maana mashariti mengi wakati jioni ishaingia .

Anyway kila kheri binti , Mungu akupe hitaji la moyo wako
 
Boss acha utani. Miaka 50 unamwita binti!!

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Wee mwanaume. Kama:-

1. Una umri kati ya 53 - 56
2. Single/Divorced na upo tayari kuingia kwenye mahusiano ya kudumu.
3. Umejitunza kiafya
4. Watoto wako wamejitegemea.
5. Una shughuli nzuri tu za kujiingizia kipato.
6. Upo radhi ku settle nje ya Tanzania na utajilipia tiketi yako kuja huku kwangu.

Basi nakutafuta.

Mie ni mwanamke
1. Umri ni early 50.
2. Naishi ughaibuni kwangu.
3. Nina mtoto 1 tu.
4. Nina elimu na maisha mazuri.

Tukielewana, ntakualika uje huku, na nitashughulikia makaratasi ili upate Uraia wa huku. Karibu tuishi pamoja, tuzeeshane tuzikane. Tuwasiliane kupitia moyomkiwa@gmail.com. Kila email itajibiwa.
Nakutakia kila la heri usiwe Moyo mkiwa tena.
 
Miaka 50 kutokuwa na makazi ya kudumu ni tatizo; huku ni bora zaidi kuliko nje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom