valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,851
- 870
utampata tu!
We kuwa mvumilivu.
We kuwa mvumilivu.
Jamani wadau, wanaJF, upweke unanikondesha. Natafuta mtu ambaye yuko erious na maisha (man), anayetamani kampany ya ukweli kama ninatamani mimi, kwa pamoja tushirikiane katika sehemu ya maisha iliyobaki. Very serious!
Unachagua dini?sichagui kabila wala rangi. Mimi ni Mkristu.
kila la kheri. tungo wajua kuimba? kazi kwako
when I need you- celine dion - YouTube
Nshakosa mke hapa mbona unataka wazee..Ooooh Asante Msani. Hapa kuna vitu sijabainisha.
Umri - between 35 and 40
Elimu - wastani (some colleges after secondary school)
Dini - Mkristo
Umbo - wastani
Kabila - lolote
Rangi - yoyote
urefu - cm 170+
kipato - wastani
Jamani wadau, wanaJF, upweke unanikondesha. Natafuta mtu ambaye yuko erious na maisha (man), anayetamani kampany ya ukweli kama ninatamani mimi, kwa pamoja tushirikiane katika sehemu ya maisha iliyobaki. Very serious!
Ooooh Asante Msani. Hapa kuna vitu sijabainisha.
Umri - between 35 and 40
Elimu - wastani (some colleges after secondary school)
Dini - Mkristo
Umbo - wastani
Kabila - lolote
Rangi - yoyote
urefu - cm 170+
kipato - wastani
wewe priest,jitahidi kidogo tuNshakosa mke hapa mbona unataka wazee..
vin diesel avater yako nimeizimia ile mbaya maana mi narogwa na watu weupeUtapata wa kutosha...usisahau kurudi kutupa mrejesho
Ooooh Asante Msani. Hapa kuna vitu sijabainisha.
Umri - between 35 and 40
Elimu - wastani (some colleges after secondary school)
Dini - Mkristo
Umbo - wastani
Kabila - lolote
Rangi - yoyote
urefu - cm 170+
kipato - wastani
weka cv ya kutosha
mfano:
umri
elimu
dini
urefu
umbile(mnene au mwembamba)
kabila
rangi(mweupe au mweusi)
hatutaki majaribio maana hata wewe unatakiwa uweke vigezo vya unayemtaka
Nshakosa mke hapa mbona unataka wazee..
nimetafuta muda mrefu sana angalia na leo nimekosa sifa moja tu,dah hii balaa,vipi Primm hauwezi punguza umri?au mkosi kwangu?
au na mie nisubiri umri kama huo lakini uzalendo utanishinda