Natafuta 'Life Patner'

Primm

Member
Jul 22, 2011
28
4
Jamani wadau, wanaJF, upweke unanikondesha. Natafuta mtu ambaye yuko erious na maisha (man), anayetamani kampany ya ukweli kama ninatamani mimi, kwa pamoja tushirikiane katika sehemu ya maisha iliyobaki. Very serious!
 
weka cv ya kutosha
mfano:
umri
elimu
dini
urefu
umbile(mnene au mwembamba)
kabila
rangi(mweupe au mweusi)



hatutaki majaribio maana hata wewe unatakiwa uweke vigezo vya unayemtaka
 
Mwenye upendo na kuthamini, mcheshi, elimu ya kawaidaa, awe na income ya kussurpot maisha (not tajiri), sichagui kabila wala rangi. Mimi ni Mkristu.
 
Ooooh Asante Msani. Hapa kuna vitu sijabainisha.

Umri - between 35 and 40
Elimu - wastani (some colleges after secondary school)
Dini - Mkristo
Umbo - wastani
Kabila - lolote
Rangi - yoyote
urefu - cm 170+
kipato - wastani
 
Mwenye upendo na kuthamini, mcheshi, elimu ya kawaidaa, awe na income ya kussurpot maisha (not tajiri), sichagui kabila wala rangi. Mimi ni Mkristu.

nadhani unatakiwa kumpata anayejiheshimu na kueshimu , mnayeweza kusikilizana na kuelewana ,

upendo hakuna kipimo kamili
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom